Ukweli mchungu utabaki kuwa Magufuli alikuwa shujaa na Rais bora kuwahi kutokea Tanzania na Afrika.
Historia vizazi na vizazi vitazidi kumkumbuka huyu shujaa kutokea Chato.
Haitokaa ije kutokea...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema maji ni moja ya shida kubwa zinazowakabili wananchi wengi wa ukanda wa ziwa Victoria.
Tathmini kutoka mikutano ya...
Kila Kona ya nchi Sasa ni mtetemo na mtikisiko ikienda sambamba na tabasamu la kumalizika Kwa miradi iliyoanzishwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli. Ni juzi tumeambiwa mtambo namba 8 wa...
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amepatwa na nini? Mbona Bashe wa kabla ya kuteuliwa kuwa waziri alikuwa machachari sana kuliko huyu wa sasa? Mazao yote makubwa chini yake yameanguka bei ,pamba...
Hakuna umeme hata dar es salaam, viwanda, majumbani na kwenye biashara hakuna umeme, ni shida na hasara ya matrilion inapatikana: Mvua zinanyesha nchi nzima, mabwawa yamejaa na mafuriko kila kona...
Taarifa iliyotolewa na BOT mwishoni mwa mwaka jana inaonesha kanda ya kaskazini yenye mikoa 4 ndio ya pili kwa makusanyo ya mapato nchini baada ya Dar.
Mapato ya Dsm hayashangazi kwasababu...
Kweli kabisa nasema ukweli, kila wizara alikowekwa hayati Magufuli alifanya wandazi.
Leo umeme shida kila kona ya nchi mpaka hospitali zinakatiwa umeme, mwingine akasema eti winchi ya kunyanyua...
Leo nimeona tujadiri wapi bunge letu limekosea/linakosea.
Awali tunajua kuwa mbunge wa Jimbo anapochaguliwa anawakilisha wana-Jimbo wote.
Sasa mbona wanawake wanataka mwakilishi wao, mbona...
Kutokana na mfumo wa Jeshi la polisi ulivyo, kitengo Cha CID kipo chini ya jeshi Hilo ambapo mkuu wa kitengo hicho ni mmoja wa wasaidizi wa IGP anayeshughulika na upelelezi wa makosa makubwa ya...
Je, tunapaswa kupoteza rasilimalifedha na muda kumuenzi Nyerere kama tumemgeuka Mzee wa watu kwa kiasi hiki?
Hebu msikilize huyu Mama.
https://youtu.be/NoD_0Wnehtk?si=rLQ4PzkpZO8fR0-k
Sias zina unafiki sana. Siku zote wanasiasa wanatanguliza maslahi yao, wasikudanganye vinginevyo. Suala la kuruhusu mgombea binafsi liliamuliwa na mahakama kuwa ni haki ya kikatiba ya kila...
Haya aliyasema katika hukumu ya kesi ya Rev. Mtikila v Attorney General, 1993
Leo tunaona Rais na kila mmoja upande wa CCM wanavunja KATIBA kama vile kuvunja uchumba!
Jaji Lugakingira...
Wadau nawasabahi.Poleni na Msiba wa Shujaa Edward Lowassa pia poleni na Matatizo ya Bei na Upatikanaji wa SUKARI na pia Upatikanaji wa UMEME.
Hoja yangu ni UMEME
Kutokana na Sintafahau...
Na. M. M. Mwanakijiji
Kuna mambo mengine yakijirudia unaweza ukafikiria bado uko ndotoni. Maana kuna baadhi ya ndoto zinajirudia rudia hata kama huzitaki. Wengine wanaita "jinamizi". Zinakuja...
Mgao mkali wa umeme uliopo unatokana na upungufu uliopo katika uzalishaji dhidi ya mahitaji. Kuwashwa kwa Mtambo namba 9 katika Mradi wa Bwawa la uzalishaji umeme la Julius Nyerere ambao...
Na Joseph Maziku, Arusha
Mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na mbunge wa zamani wa Arusha mjini Godbless Jonathan Lema ameingia katika rekodi nyingine ya...
Pamoja na jitihada kubwa zinazo fanywa na Serikali ya awamu ya 6 chini ya Mama, kuhakikisha kuwa nchi yetu inapata nishati ya uhakika lakini bado naona kuna tatizo la msingi ambalo pamoja na mambo...
Ndg. zangu wanaJF,
Mr. Massoro Hussein Kivuga in chaguo la wananchi wa ukonga jijini Dar es Salaam.
Anauzika anafaa anatosha mpaka chenji inabaki. Ukonga kama jumbo ambalo lipo wazi has a baada...
Chadema Tanzania , kimekuwa Chama cha kwanza cha Kisiasa nchini Tanzania kutoa salamu za Rambirambi kwa waliopata ajali huko Ngaramtoni , Arusha .
Taarifa za sasa zinaonyesha kwamba Watu 25...