Kusema kweli Magufuli alikuwa Rais bora kuwahi kutokea Tanzania

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Ukweli mchungu utabaki kuwa Magufuli alikuwa shujaa na Rais bora kuwahi kutokea Tanzania na Afrika.

Historia vizazi na vizazi vitazidi kumkumbuka huyu shujaa kutokea Chato.

Haitokaa ije kutokea tukapata Rais mchapakazi kama yule kile chuma kingekuwepo hadi sasa tungekuwa tulishasahau shida za umeme na bwawa lilishafanya kazi hadi tushasahau.

Angekuwa ashawaza chanzo kingine kikubwa cha umeme.

SGR ingekuwa tulishafiri zamani mpaka Dodoma na Singida sasa ungekuta amalizia kipande cha Kigoma na Mwanza.

Jiulize aliwezaje umeme ulikuwa umeimarika sana hapa nchini hakukuwa na mambo mengi.
Nauli ungekuta hazijapanda hivi.
Angekuwepo mafuta yangekua bei rahisi sana.
Angekuwepo tungekuwa na miradi ya kimkakati mingi sana.
Angekuwepo sasa hivi tungekuwa na mambo ya afya bure baada ya elimu bure.

Tusingekuwa na changamoto za kutisha kabisa Lakini mrithi wake kafanya nini, anaweza nini au anajua nini? Ukifatilia utagundua kuna watu wanakariri tu vya kusema ili siku ziende ni kama huyu mama ametugaya kweri.

Magufuri atabaki kuwa rais bora kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu alikua chuma, jemedari, na mzarendo kweri kweri kipindi cha JPM hakukua na mambo ya hovyo, kizembe ya kipumbavu kama mengi yanayotokea sasa lala sarama shujaa wewe ndo rais bora hapa Tanzania na hakuna rais atakayetokea kama wewe.

Ushawaza JPM hadi sasa angekua hai mambo ya umeme yangekuaje? Kile kilikuwa chuma cha reli.
 
Magufuli angekuwa hadi leo hii tungekua mbali sana.
1. Shida za umeme tulishasahau unit moja ya umeme ingekua inauzwa 50 au 30

2. Tulishamaliza bwawa kitambo na tulishasahau na sahivi labda tuna miradi mingine ya umeme.

3. Tanzania ingekua kinara wa kuuza umeme nje.
4. Shida za maji hazipo
5. Tungekuwa na bima ya afya kwa kila mtu kwa wote au huduma ya afya bure.

6. Sahivi angekua ashakamilisha miradi mingi kwahiyo angekua ashaanza kumwaga ajira na kupandisha mishahara kedekede.

7. Mafuta yangekua chee na nauli zingekua chini.
8. Tanzania ingekua bora Afrika na duniani kwa mambo mengi.
9. Sahivi kila mahali ungeona barabara nyingi sana
10. Majambazi, wahuni, wahujumu uchumi, wazee wa unanijua mimi ni nani tungekuwa tunasoma tu hadithi zao kuwa waliwahi kuwepo.

Kingine ongezea hapo

11?
12?
 
Ukweri mchungu utabaki kuwa magufuri alikua shujaa na rais bora kuwahi kutokea Tanzania na Africa.

Historia vizazi na vizazi vitazidi kumkumbuka huyu shujaa kutokea Chato.

Haitokaa ije kutokea tukapata rais mchapakazi kama yule kire chuma kingekuwepo hadi sasa tungekua tulishasahau shida za umeme na bwawa lilishafanya kazi hadi tushasahau

Angekua ashawaza chanzo kingine kikubwa cha umeme

Sgr ingekua tulishafiri zamani mpaka dodoma na Singida sasahv ungekuta amarizia kipande cha Kigoma na Mwanza

Jiulize aliwezaje umeme ulikua umeimarika sana hapa nchini hakukua na mambo mengi

Nauli ungekuta hazijapanda hivi
Angekuwepo mafuta yangekua bei rahis sana
Angekuwepo tungekua na miradi ya kimkakati mingi sana
Angekuwepo sahv tungekua na mambo ya afya bure baada ya elimu bure
Tusingekua na changamoto za kutisha kabisa

Lakini mlithi wake kafanya nini, anaweza nini au anajua nini? Ukifatiria utagundua kuna watu wanakariri tu vya kusema ili siku ziende.

Magufuri atabaki kuwa rais bola kuwahi kutokea katika histolia ya nchi yetu alikua chuma,jemedali na mzarendo kweri kweri kipindi cha jpm hakukua na mambo ya hovyo,kizembe ya kipumbavu kama mengi yanayotokea sasa

Lala sarama shujaa wewe ndo rais bora hapa Tanzania na hakuna rais atakayetokea kama wewe.

Ushawaza jpm hadi sasa angekua hai mambo ya umeme yangekuaje? Kire kirikua chuma cha reli
Hiri tangazo rako rimekaa fureshi sana rinampa sifa kiukweri arijitahidi hasa swara ra umeme.arazwe anapostahiri
 
Vitani yule ni mnyanyasaji kisiri alikuwa anapeleka mali kwao kijiji kimemeremeta utazani ndio nje ya nchi akawawekea hadi mbuga unataka au hutaki. Chato . Hapana vifo vya watu kwa stress wananchi kwa viongozi vingeongezeka ogopa mtu akicheka nawewe na kukuadhibisha baadae .

Mmevuta bangi naye saivi baadae anakuuliza umetoa wApi nani kakupa huna kazi hii ni mbaya sana
 
Vitani yule ni mnyanyasaji kisiri alikuwa anapeleka mali kwao kijiji kimemeremeta utazani ndio nje ya nchi akawawekea hadi mbuga unataka au hutaki. Chato . Hapana vifi vya watu kwa stress wananchi kwa viongozi vingeongezeka ogopa mtu akicheka nawewe na kukuadhibisha baadae .

Mmevuta bangi naye saivi baadae anakuuliza umetoa wApi nani kakupa huna kazi hii ni mbaya sana
Kwa hiyo chato sio tanzania ulitaka hizo Mali aziache zote hapo dar au useless people.. 🚮
 
Ukweri mchungu utabaki kuwa magufuri alikua shujaa na rais bora kuwahi kutokea Tanzania na Africa.

Historia vizazi na vizazi vitazidi kumkumbuka huyu shujaa kutokea Chato.

Haitokaa ije kutokea tukapata rais mchapakazi kama yule kire chuma kingekuwepo hadi sasa tungekua tulishasahau shida za umeme na bwawa lilishafanya kazi hadi tushasahau

Angekua ashawaza chanzo kingine kikubwa cha umeme

Sgr ingekua tulishafiri zamani mpaka dodoma na Singida sasahv ungekuta amarizia kipande cha Kigoma na Mwanza

Jiulize aliwezaje umeme ulikua umeimarika sana hapa nchini hakukua na mambo mengi

Nauli ungekuta hazijapanda hivi
Angekuwepo mafuta yangekua bei rahis sana
Angekuwepo tungekua na miradi ya kimkakati mingi sana
Angekuwepo sahv tungekua na mambo ya afya bure baada ya elimu bure
Tusingekua na changamoto za kutisha kabisa

Lakini mlithi wake kafanya nini, anaweza nini au anajua nini? Ukifatiria utagundua kuna watu wanakariri tu vya kusema ili siku ziende.

Magufuri atabaki kuwa rais bola kuwahi kutokea katika histolia ya nchi yetu alikua chuma,jemedali na mzarendo kweri kweri kipindi cha jpm hakukua na mambo ya hovyo,kizembe ya kipumbavu kama mengi yanayotokea sasa

Lala sarama shujaa wewe ndo rais bora hapa Tanzania na hakuna rais atakayetokea kama wewe.

Ushawaza jpm hadi sasa angekua hai mambo ya umeme yangekuaje? Kire kirikua chuma cha reli
Ndugu, ukiona mjengo wa nyumba nzuri umesimama, basi tambua kuna watu mbalimbali wametia mkono mpaka ikatokea hivyo. Wapo wadau, wabia, mafundi na wajenzi wengi ambao hutumika katika hatua mbalimbali mpaka mjengo husika ukasimama na kuonekana wa maana mbele za watu.

Wapo kwanza 'financiers" wa mradi husika, wapo "architectures", wapo "engineers &constructors" wapo "quantity surveyors" wapo mafundi mahususi kwa ajili ya "foreman activities in designing & finishing" ambao namuona JPM na SSH wapo katika kundi hili la ujenzi wa jengo la Tanzania ama Tanganyika kwa jicho la tatu.

Huwezi kumuinua JPM zaidi ya wanzake pasipo kutambua mchango muhimu wa ujenzi kwa wale waliomtangulia. Ni dhana finyu sana kuthamini hatua ya mwisho ya ujenzi wa nyumba imara, bila ya kuona uthamani wa hatua za awali za ujenzi wa nyumba husika.
 
Akiri zako hazimo hata hivyo watu kama hawa wanaohujumu tanesco wanapaswa
Tanesco ni zao la ccm,huwezi kuwatenganisha,maoni yangu president magufuli alinipotezea member niliyekuwa na mfollow humu Mr Saanane, wengi wameshamsahau na maisha kwao yanaendelea,familia yake hawajui kama leo wamekula
 
Back
Top Bottom