Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema Treni ya Reli ya Kisasa (SGR) imetumia umeme wa Sh336,000 katika safari ya abiria ya majaribio kutoka jijini Dar es...
18 Reactions
145 Replies
13K Views
Ndugu zangu Watanzania, Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa CHADEMA kuendelea kufanya maandalizi na hamasa ya magari yao kuwa kesho wanafanya maandamano na kuwataka watu washiriki katika maandamano...
4 Reactions
117 Replies
6K Views
Akiwa mkoani Mara Waziri mkuu mh Majaliwa amesema kuna Wizi mkubwa sana unafanywa na kakikundi ka Watu Wachache pale TAMISEMI wakishirikiana na Watendaji wa kwenye Halmashauri Wezi hao...
10 Reactions
52 Replies
5K Views
Utaratibu wa kutoa majina ya watumishi waliokidhi vigezo vya kuhama kwenye tovuti ya TAMISEMI kila mwezi wa Juni na Desemba umeshakufa. Kwa sasa barua zimerudikana pale idarani kurugenzi ya...
4 Reactions
33 Replies
6K Views
Why huyu Rostam hajifunzi? Why anafanya yaleyale na results zinarudi zile zile na bado haoni "makosa" yake?... Naomba niseme hapa siko hapa kusema Rostam ni mfanyabiashara Safi Sana na wala siko...
9 Reactions
61 Replies
6K Views
MBUNGE MPEMBENWE: JIMBO LA KIBITI LILIPOKEA BILIONI 31 ZA MIRADI YA MAENDELEO KUTOKA KWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN "Katika Jimbo la Kibiti, Rais Samia Suluhu Hassan ametupatia fedha nyingi za...
0 Reactions
0 Replies
457 Views
Vijana wa Chama Cha ACT Wazalendo wamefanya mdahalo mmoja mzuri sana,ambao pia wameutumia kama uwanja wa kampeni. Hoja nyingi zilielekezwa Kwa Mwenyekiti anayetetea nafasi yake katika Ngome hiyo...
2 Reactions
2 Replies
616 Views
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kuwa lengo la maandamano si machafuko bali ni kupeleka ujumbe kwa watawala. Akizungumza Katika mkutano wa hadhara uliofanyika baada ya maandamano...
2 Reactions
3 Replies
633 Views
Wanabodi, Huu ni mwendelezo wa Tribute to Edward Lowassa ilianza wiki iliyopita TRIBUTE: Pumzika Lowassa. Kazi umekamilisha, umeacha alama, mwendo umeumaliza. Watanzania wazalendo...
19 Reactions
18 Replies
3K Views
Hivi hapa ni vikao vya mwisho vya Tathmini ya Maandamano hayo, ambako tunaambiwa mipango yote imekamilika kwa % zote.
10 Reactions
72 Replies
4K Views
Dkt. Philip Isdor Mpango, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewaagiza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (Mb), na Waziri wa Fedha Dkt...
0 Reactions
1 Replies
760 Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jensita Mhagama (Mb) Peramiho, amewapongeza Wenyeviti wa Mashina na Kata kwa kazi nzuri wanayofanya ya kulinda na kukipigania...
0 Reactions
0 Replies
547 Views
Kwa mujibu wa Africa fact zone hii hapa ndio Orodha ya nchi zenye Amani ya moyo Africa's Most Peaceful Countries 1. Mauritius 2. Botswana 3. Sierra Leone 4. Ghana 5. Senegal 6. Madagascar 7...
7 Reactions
48 Replies
5K Views
Mikataba mipya ya Madini (Frameworks Agreements) itazamwe tena Na. Zitto Kabwe Hivi karibuni Waziri wa Madini Dotto Biteko ameainisha uwekezaji wa miradi mipya mikubwa mitatu inayoanza kufanyiwa...
33 Reactions
83 Replies
12K Views
Waziri wa fedha na mipango Dk. Mwigulu Lameck Nchemba amewaita vijana mbalimbali toka Kanda ya Ziwa na kukutana nao mkoa wa Singida mnamo tarehe 22.02.2023 kwa kile alichodai kuwa ni kumsemea mama...
8 Reactions
36 Replies
4K Views
Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Tabora mjini Bw. Komanya Erick Kitwala apinga uamuzi wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumstaafisha bila kumpa sababu . Kesi aliyofungua Komanya Erick Kitwala...
13 Reactions
86 Replies
16K Views
Waziri wa Katiba na Sheria Leo amewaongoza Wananchi wa Arusha kuaga miili 11 Kati ya 25 ya Marehemu wa Ajali Miongoni mwa miili hiyo imo ya watoto Wadogo watatu Source: Mwananchi Digital
1 Reactions
8 Replies
1K Views
23 February 2024 SALAMU ZA RAMBIRAMBI Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Hussein Ali Mwinyi amepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha baba mzazi wa waziri wa Mambo ya...
6 Reactions
14 Replies
3K Views
Hawana tofauti na wafuasi wa shetani ambao wanapotosha Neno la Mungu kwa maslahi yao binafsi. Tunataka KATIBA mpya na siyo hisani za rais
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Ngome ya vijana wa Chama cha ACT Wazalendo itafanya mkutano wake kesho wa kuchagua mtu atakayekuwa mwenyekiti kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Kwa mujibu wa vyombo vya habari wagombea wanne...
0 Reactions
0 Replies
585 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…