Wahuni huuliza Katiba itakuletea maji, umeme na barabara?

Katiba itapush to start?? 🤣
Hahaha
Si kwa kuninanga huku.🤣🤣🤣
Naliweka sokoni nipige ngondi walah🤣

Naona leo umekuja huku jukwaa pasua kichwa kusaka hedeki😀
 
Hahaha
Si kwa kuninanga huku.🤣🤣🤣
Naliweka sokoni nipige ngondi walah🤣

Naona leo umekuja huku jukwaa pasua kichwa kusaka hedeki😀
Nimepita koridoni nikaona uzi ni wako
😂😂😂

Niuzie mimi basi
Kitu cha push to start
Hatutembei na mafunguo
 
mandamano ya katiba hayana nia njema kwa mnyonge

mahitaji ya watanzania si katiba kwa sasa katiba tulio nayo haina shida pia ilani ya chama cha mapinduzi ni mkombozi barani afrika si tanzania pekee
 
mandamano ya katiba hayana nia njema kwa mnyonge

mahitaji ya watanzania si katiba kwa sasa katiba tulio nayo haina shida pia ilani ya chama cha mapinduzi ni mkombozi barani afrika si tanzania pekee
Naam huo ndo uwakala wa nguvu za giza.

Katiba ndiyo kila kitu. Leo serikali haiwajibiki wala kuwashirikisha wananchi kwenye kupanga maendeleo na inajua haku wa kuihoji.

Bila Katiba Mpya tunaona kila kitu ni hisani na tutaishi kwa manifest za vyama badala ya sera za kitaifa.

Bila Katiba mpya tutaendelea kuzalisha machawa wengi na kuwafanya role model badala ya kuatamiza wataalam wengi

Bila Katiba mpya, watu wenye mawazo kama yako ndo wataonekana wazalendo kuliko wale wanaokosoa kwa haki na upendo

Bila Katiba Mpya, tutaendelea kuwa na wizara zinazotokana na utashi wa rais kuliko mahitaji ya nchi

Bila Katiba Mpya, tutaendelea kuishi kwa kudra za mhimili mmoja pekee yaani Executives
 
Ni kweli tunahitaji katiba mpya. Lkn katiba huwa inapatikana baada ya kuchapana na kuuana.

Ni vema kuliazisha ili tuchapane.
Tunaweza kuipata bila kunyofoa roho ya mtu.

Katiba iliyopo haikuzuia dola kuua na kuwadhuru wanaoikosoa
 
Hawana tofauti na wafuasi wa shetani ambao wanapotosha Neno la Mungu kwa maslahi yao binafsi.

Tunataka KATIBA mpya na siyo hisani za rais
katiba ya waTanzania inatazamiwa kuanza kusukwa mapema mara baada ya uchaguzi mkuu 2025.

that one must be clearly known to you all my fellow citizens 🐒

hii ya makelele mingi, porojo, stori, blackmailing at sijui maandamano are useless ni bure kabisaa wastage of time 🐒

kwamba ukisema wewe ndio katiba akisema mwingine sio katiba....

ifike mahali kukubaliana kutofautiana, na sio kulazimishana, kulaumiana, kushurutishana na kutishiana. This country belongs to us all 🐒

alaaa.....
tuheshimiane kidogo basi tafaddhalli ndrugu zango 🐒
 
Hapo umetumia akili yako yoote kuandika ulichoandika and yet unatufokea.

Kawagombeze walio nyumbani kwako. When it comes kwenye maslahi ya Taifa ni jambo la kutumia akili zaidi ya mizinguo na konakona
 
Back
Top Bottom