Kwanini Rostam hajifunzi?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,111
115,903
Why huyu Rostam hajifunzi?

Why anafanya yaleyale na results zinarudi zile zile na bado haoni "makosa" yake?...

Naomba niseme hapa siko hapa kusema Rostam ni mfanyabiashara Safi Sana na wala siko hapa kusema Rostam ni fisadi sana. Hapa mjadala sio usafi au ufisadi...hapa mjadala ni kwanini Rostam tena yupo katikati ya mjadala wa Dpworld again.
Was it necessary?

Kama Hana hisa Dpworld angekaa kimyaa kabisa si ingekuwa busara zaidi? Why ajitokeze kutetea wakati anajua kabisa jina lake linahusishwa na ufisadi kila mara hata kama katika hizo tuhuma kuna uwongo na majungu na fitina but mradi jina lake limehusishwa the best kwake ilikuwa kuto onekana in anyway anahusika na hii Dpworld presumed ni kampuni safi na inakuja leta faida.

Rostam hakujifunza kitu kuhusu Dowans? Wakati anahangaika kuiuzia serikali Mitambo ya Dowans? Kwa Bilioni 20 Tu na ikashindikana? Hatimae "wakaibadili " kampuni kuwa ya "kimarekani" kutoka kuwa ya "mwarabu" na kelele zote zikaisha?

Rostam hajui kuwa watanzania Wengi hasa waumini wa imani Fulani wanamuona yeye ni "mwarabu" wakati si mwarabu?

Rostam hajui kuwa kundi hilo Hilo linamuona yeye "muislam" wakati sio Muislam?

Rostam hajui kujitokeza kugombana hadharani na Dr Slaa kunazidi tengeneza mtazamo kuwa kuna kundi la waarabu na waislam nyuma ya Dpworld? Wakati muewekezaji mkubwa wa Dpworld ni Wamarekani??..

Why Rostam never learn?
Or was it intentional??
 
Why huyu Rostam hajifunzi?
Why anafanya yaleyale na results zinarudi zile zile na bado haoni "makosa" yake?...
Naomba niseme hapa siko hapa kusema Rostam ni mfanyabiashara Safi Sana ..na wala siko hapa kusema Rostam ni fisadi sana...hapa mjadala sio usafi au ufisadi...hapa mjadala ni kwanini Rostam tena yupo katikati ya mjadala wa Dpworld again...
Was it necessary?
Kama Hana hisa Dpworld angekaa kimyaa kabisa si ingekuwa busara zaidi?why ajitokeze kutetea wakati anajua kabisa jina lake linahusishwa na ufisadi kila mara hata kama katika hizo tuhuma kuna uwongo na majungu na fitina...but mradi jina lake limehusishwa the best kwake ilikuwa kuto onekana in anyway anahusika na hii Dpworld presumed ni kampuni safi na inakuja leta faida......

Rostam hakujifunza kitu kuhusu Dowans?wakati anahangaika kuiuzia serikali Mitambo ya Dowans? Kwa Bilioni 20 Tu na ikashindikana? Hatimae "wakaibadili " kampuni kuwa ya "kimarekani" kutoka kuwa ya "mwarabu" na kelele zote zikaisha?

Hata angetaka kuongea jambo kuhusu DP WORLD haikuwa lazima aongee yeye mwenyewe.
Mbona ana uwezo mkubwa wa kuongea bila yeye mwenyewe kuongea???
Je, ni kweli hajui jina lake linatafsiriwa vipi na watanzania walio wengi?
Au ndio umefika muda ambao malaika wabaya wameamua kumharibia zaidi?

Mungu atupe mwisho mwema
 
Exactly my point
 
Unaposema DPW ni ya wamarekani tuwekee hapa ushahidi, usiseme tu DPW ni ya wamarekani ilimradi uwatenganishe hao waarabu na uharamia waliotufanyia kwa kutumia upumbavu wa kiongozi wetu kwa maslahi yenu, hamna mjinga hapa.

Huyo Rostam nae, naona umejaribu kumtenganisha na DPW na Uislam ili kuchezea akili za wajinga tu, kama Rostam sio muislam tuambie ni wa dini gani nyingine? kama mkristu wa dhehebu gani?

Huyo huyo Rostam, siku zote amekuwa na akili ndogo ndio maana unauliza kwa nini kila siku anajikuta kwenye matatizo, ni kwasababu ya akili yake ndogo.

Akidhani anamjibu Dr. Slaa, ambapo kimsingi hakujibu chochote zaidi ya kelele tu, akajikuta anaenda kutengeneza tatizo na mahakama mpaka mwishowe akaishia kuomba msamaha.
 
Hata angetaka kuongea jambo kuhusu DP WORLD haikuwa lazima aongee yeye mwenyewe.
Mbona ana uwezo mkubwa wa kuongea bila yeye mwenyewe kuongea???
Je, ni kweli hajui jina lake linatafsiriwa vipi na watanzania walio wengi?
Au ndio umefika muda ambao malaika wabaya wameamua kumharibia zaidi?

Mungu atupe mwisho mwema
Shujaa Magufuli: Aziz gombea Ubunge Morogoro mjini 😂😂
 
Unaposema DPW ni ya wamarekani tuwekee hapa ushahidi, usiseme tu DPW ni ya wamarekani ilimradi uwatenganishe hao waarabu na uharamia waliotufanyia kwa kutumia upumbavu wa kiongozi wetu.

Huyo Rostam nae, naona umejaribu kumtenganisha na DPW na Uislam ili kuchezea akili za wajinga tu, kama Rostam sio muislam tuambie ni wa dini gani nyingine?

Huyo huyo Rostam, siku zote amekuwa na akili ndogo ndio maana unauliza kwa nini kila siku anajikuta kwenye matatizo, ni kwasababu ya akili yake ndogo, akidhani anamjibu Dr. Slaa, ambapo kimsingi hakujibu chochote zaidi ya kelele tu, akajikuta anaenda kutengeneza tatizo na mahakama mpaka mwishowe akaishia kuomba msamaha.
Umewahi kuwaona Rostam Aziz na Yusuf Manji Msikitini?
 
Why huyu Rostam hajifunzi?
Why anafanya yaleyale na results zinarudi zile zile na bado haoni "makosa" yake?...
Naomba niseme hapa siko hapa kusema Rostam ni mfanyabiashara Safi Sana ..na wala siko hapa kusema Rostam ni fisadi sana...hapa mjadala sio usafi au ufisadi...hapa mjadala ni kwanini Rostam tena yupo katikati ya mjadala wa Dpworld again...
Was it necessary?
Kama Hana hisa Dpworld angekaa kimyaa kabisa si ingekuwa busara zaidi?why ajitokeze kutetea wakati anajua kabisa jina lake linahusishwa na ufisadi kila mara hata kama katika hizo tuhuma kuna uwongo na majungu na fitina...but mradi jina lake limehusishwa the best kwake ilikuwa kuto onekana in anyway anahusika na hii Dpworld presumed ni kampuni safi na inakuja leta faida......

Rostam hakujifunza kitu kuhusu Dowans?wakati anahangaika kuiuzia serikali Mitambo ya Dowans? Kwa Bilioni 20 Tu na ikashindikana? Hatimae "wakaibadili " kampuni kuwa ya "kimarekani" kutoka kuwa ya "mwarabu" na kelele zote zikaisha?

Rostam hajui kuwa watanzania Wengi hasa waumini wa imani Fulani wanamuona yeye ni "mwarabu" wakati si mwarabu?

Rostam hajui kuwa kundi hilo Hilo linamuona yeye "muislam" wakati sio Muislam?

Rostam hajui kujitokeza kugombana hadharani na Dr Slaa kunazidi tengeneza mtazamo kuwa kuna kundi la waarabu na waislam nyuma ya Dpworld? Wakati muewekezaji mkubwa wa Dpworld ni Wamarekani??..

Why Rostam never learn?
Or was it intentional??
Ukiwa umesoma Saikolojia vyema ukaijumlisha na ile ya Kuzaliwa ukitulia na Kuiangalia Kiumakini Sura ya Rostam utagundua kuwa ana Makandokando mengi, si Mwaminifu na ni Mtu HATARI sana kwa Tanzania ya Jana, Leo na hasa Ijayo kama hatodhibitiwa na wale Wanaomuogopa na Kumlea kama Mtoto wa Dawa kwa Waganga wa Kienyeji / wa Maombi kwa akina Mwamposa Tanganyika Packers Kawe na Mwacha Kimara Temboni.
 
Ubovu wa mkataba hauwezi kuwa justified kwa hoja ya kidini au uarabu na umarekani.

Mkataba ni mbovu ni mbovu tu.

Swala kwamba mwekezaji mkubwa ni mmarekani haifanyi ubovu huo kuwa halali.

Rostam hapingwi kwa udini wake bali kwa matendo yake ambayo unaonekana unayafahamu.

Kuna waislamu na waarabu wengi tu ambao hawana matendo mabovu na hawapigiwi kelele kama ilivyo kwa wakristo , wahindu na wapagani.
 
Why huyu Rostam hajifunzi?
Why anafanya yaleyale na results zinarudi zile zile na bado haoni "makosa" yake?...
Naomba niseme hapa siko hapa kusema Rostam ni mfanyabiashara Safi Sana ..na wala siko hapa kusema Rostam ni fisadi sana...hapa mjadala sio usafi au ufisadi...hapa mjadala ni kwanini Rostam tena yupo katikati ya mjadala wa Dpworld again...
Was it necessary?
Kama Hana hisa Dpworld angekaa kimyaa kabisa si ingekuwa busara zaidi?why ajitokeze kutetea wakati anajua kabisa jina lake linahusishwa na ufisadi kila mara hata kama katika hizo tuhuma kuna uwongo na majungu na fitina...but mradi jina lake limehusishwa the best kwake ilikuwa kuto onekana in anyway anahusika na hii Dpworld presumed ni kampuni safi na inakuja leta faida......

Rostam hakujifunza kitu kuhusu Dowans?wakati anahangaika kuiuzia serikali Mitambo ya Dowans? Kwa Bilioni 20 Tu na ikashindikana? Hatimae "wakaibadili " kampuni kuwa ya "kimarekani" kutoka kuwa ya "mwarabu" na kelele zote zikaisha?

Rostam hajui kuwa watanzania Wengi hasa waumini wa imani Fulani wanamuona yeye ni "mwarabu" wakati si mwarabu?

Rostam hajui kuwa kundi hilo Hilo linamuona yeye "muislam" wakati sio Muislam?

Rostam hajui kujitokeza kugombana hadharani na Dr Slaa kunazidi tengeneza mtazamo kuwa kuna kundi la waarabu na waislam nyuma ya Dpworld? Wakati muewekezaji mkubwa wa Dpworld ni Wamarekani??..

Why Rostam never learn?
Or was it intentional??
Ile mikataba aliyosaini Rais Samia Marekani wakati wa royal tour Rostam Aziz akiwa katikati ya Rais Samia na wamarekani hukuelewa kitakachojili?

Kifupi Rostam Aziz ni agent wa Mabeberu,wanachokifanya ni kumjazia ukwasi na yeye ku lob Serikali za kiafrika kama mwekezaji.

Kuingilia suala la DP world kisha kushambuliana na Dr Slaa ni sehemu ya wajibu wake kama agent mkuu
 
Why huyu Rostam hajifunzi?
Why anafanya yaleyale na results zinarudi zile zile na bado haoni "makosa" yake?...
Naomba niseme hapa siko hapa kusema Rostam ni mfanyabiashara Safi Sana ..na wala siko hapa kusema Rostam ni fisadi sana...hapa mjadala sio usafi au ufisadi...hapa mjadala ni kwanini Rostam tena yupo katikati ya mjadala wa Dpworld again...
Was it necessary?
Kama Hana hisa Dpworld angekaa kimyaa kabisa si ingekuwa busara zaidi?why ajitokeze kutetea wakati anajua kabisa jina lake linahusishwa na ufisadi kila mara hata kama katika hizo tuhuma kuna uwongo na majungu na fitina...but mradi jina lake limehusishwa the best kwake ilikuwa kuto onekana in anyway anahusika na hii Dpworld presumed ni kampuni safi na inakuja leta faida......

Rostam hakujifunza kitu kuhusu Dowans?wakati anahangaika kuiuzia serikali Mitambo ya Dowans? Kwa Bilioni 20 Tu na ikashindikana? Hatimae "wakaibadili " kampuni kuwa ya "kimarekani" kutoka kuwa ya "mwarabu" na kelele zote zikaisha?

Rostam hajui kuwa watanzania Wengi hasa waumini wa imani Fulani wanamuona yeye ni "mwarabu" wakati si mwarabu?

Rostam hajui kuwa kundi hilo Hilo linamuona yeye "muislam" wakati sio Muislam?

Rostam hajui kujitokeza kugombana hadharani na Dr Slaa kunazidi tengeneza mtazamo kuwa kuna kundi la waarabu na waislam nyuma ya Dpworld? Wakati muewekezaji mkubwa wa Dpworld ni Wamarekani??..

Why Rostam never learn?
Or was it intentional??
Ikiwa Dp world ni Marekani,

Iweje Bunge la Marekani ilikataa Kampuni hiyo katika bandari zake?
 
Udini unao wewe Kwa nini waislam wengi mnakosa emotional intelligence kiasi hicho uelewa wote wa elimu Dunia mnakuwa machoko kwenye mambo msingi ya critical and analytical thinking ambayo mtoto wa 7 yrs anawazidi that's bullshit, unaongelea dini kwenye mkataba wa kishenzi na kipumbavu pale dini Iko kifungu Cha ngapi?
 
Back
Top Bottom