Waziri Pindi Chana aongoza Wana Arusha kuaga miili 11 Kati ya 25 ya waliofariki kwenye ajali, imo miili ya Watoto wadogo Watatu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,034
Waziri wa Katiba na Sheria Leo amewaongoza Wananchi wa Arusha kuaga miili 11 Kati ya 25 ya Marehemu wa Ajali

Miongoni mwa miili hiyo imo ya watoto Wadogo watatu

Source: Mwananchi Digital
 
Kwa nini leo na siyo jana au kesho?!
Au ndo yaleyale ya Doto Biteko na maandamano ya CHADEMA kule Mbeya?
 
Mkadha (clergy) ndio nilidhani anaongoza mazishi, sio waziri.

Serikali inajikosha misibani ili kusiwepo na scrutinity (kuhoji) uzembe wa kiutawala, kama upo, uliosababisha ajali.

Ifike mahala tukatae kuitazama serikali kama mama katika kila kitu. Tusidhani msiba unakuwa na hadhi kwa vile Waziri Pindi Chana yupo. Vimichango vya rambi rambi vinavyotolewa na serikali ili kununua umaarufu tuvipokee ila tusijiuze kwa kuwapa wauaji "waongoze" misiba.
 
Back
Top Bottom