GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,866
- 11,100
Mimi ni mwana CCM lakini sikubaliani na unafiki wa hovyo na kijinga katika zama za kidijitali na upotoshwaji wa historia.
Huwa napinga maandishi ya Mzee Mohamed Said hapa JF kutokana na simulizi zake za wakati huo kuwa historia ya uhuru wa Tanganyika umewafuta watu wengi waliopigania uhuru na kumtambua Nyerere tu
Mazishi ya Membe na Lowasa ndio yamenifanya niandike uzi huu,Wasomaji wa historia za marehemu wanapotosha uma kwa makusudi wakati hawa watu walihama ccm na kugombea urais upinzani
Kama wanapotosha leo wakati wa digitali ,Je enzi hizo si ndio walipotosha zaidi
Inawezekana vipi Baba mtu mzima na familia yako bila aibu unapotosha uma pale Arusha na lindi kuhusu historia za marehemu
Tunajenga Taifa la watu wa hovyo sana ,Yapasa wasoma wosia wajiuzuru nafasi zao za uongozi,Hawafai kuwa watumishi wa uma
Taarifa za ugonjwa tu hapo kenya wanatoa taarifa zao na sisi tunasema leo presha,kesho utumbo mara siku ya mazishi moyo