Tundu Lissu na Kanuni ya kutembea na Maji yake ya kunywa, nilimuona Ikulu enzi za Kikwete na nimemwona juzi Star TV

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,981
Enzi za Kikwete alipowaalika Viongozi Wakuu wa CHADEMA Ikulu baada ya mazungumzo Tundu Lissu alitoa chupa ya Maji kwenye mkoba wake akanywa wakati akina Mbowe wakigonga juice.

Juzi pale Star TV kwenye Agenda na Mtozi huyu Mhe. Lissu alitoa chupa ya Maji kwenye mkoba wake akanywa

Kuna watu Wanaishi kwa kanuni aisee 🐼
 
Enzi za Kikwete alipowaalika Viongozi Wakuu wa Chadema Ikulu baada ya mazungumzo Tundu Lisu alitoa chupa ya Maji kwenye mkoba wake akanywa wakati akina Mbowe wakigonga juice

Juzi pale Star tv kwenye Agenda na Mtozi huyu mh Tundu Lisu alitoa chupa ya Maji kwenye mkoba wake akanywa

Kuna watu Wanaishi kwa kanuni aisee 🐼
Hahahaaa.......Una nini lakini we John?

Unaacha kufatilia wanakulipa huko ccm kila siku uko ma TL?

😆😆😆😆
 
Enzi za Kikwete alipowaalika Viongozi Wakuu wa Chadema Ikulu baada ya mazungumzo Tundu Lisu alitoa chupa ya Maji kwenye mkoba wake akanywa wakati akina Mbowe wakigonga juice

Juzi pale Star tv kwenye Agenda na Mtozi huyu mh Tundu Lisu alitoa chupa ya Maji kwenye mkoba wake akanywa

Kuna watu Wanaishi kwa kanuni aisee 🐼
Hata Polepole alisema ndani ya CCM kuna wahuni wengi.....hali chakula hovyo hovyo
 
Enzi za Kikwete alipowaalika Viongozi Wakuu wa Chadema Ikulu baada ya mazungumzo Tundu Lisu alitoa chupa ya Maji kwenye mkoba wake akanywa wakati akina Mbowe wakigonga juice

Juzi pale Star tv kwenye Agenda na Mtozi huyu mh Tundu Lisu alitoa chupa ya Maji kwenye mkoba wake akanywa

Kuna watu Wanaishi kwa kanuni aisee 🐼
Hiyo haisaidii.
 
Ikulu huwezi kuruhusiwa kuongia na maji yako. Kama ni kemikali utakayoitumia kuleta.madhara nani anajua?
 
Enzi za Kikwete alipowaalika Viongozi Wakuu wa Chadema Ikulu baada ya mazungumzo Tundu Lisu alitoa chupa ya Maji kwenye mkoba wake akanywa wakati akina Mbowe wakigonga juice

Juzi pale Star tv kwenye Agenda na Mtozi huyu mh Tundu Lisu alitoa chupa ya Maji kwenye mkoba wake akanywa

Kuna watu Wanaishi kwa kanuni aisee 🐼
Kwani wewe Jo umesahau kanuni ya kijani🤣
 
Enzi za Kikwete alipowaalika Viongozi Wakuu wa Chadema Ikulu baada ya mazungumzo Tundu Lisu alitoa chupa ya Maji kwenye mkoba wake akanywa wakati akina Mbowe wakigonga juice

Juzi pale Star tv kwenye Agenda na Mtozi huyu mh Tundu Lisu alitoa chupa ya Maji kwenye mkoba wake akanywa

Kuna watu Wanaishi kwa kanuni aisee 🐼
Hiyo ni sehemu ya maisha, kuwa na uhakika wa usalama wa unachokila na unachokinywa.

Ova
 
Enzi za Kikwete alipowaalika Viongozi Wakuu wa CHADEMA Ikulu baada ya mazungumzo Tundu Lissu alitoa chupa ya Maji kwenye mkoba wake akanywa wakati akina Mbowe wakigonga juice.

Juzi pale Star TV kwenye Agenda na Mtozi huyu Mhe. Lissu alitoa chupa ya Maji kwenye mkoba wake akanywa

Kuna watu Wanaishi kwa kanuni aisee 🐼
Mbona hata wanafunzi wa shule za msingi wanayo ndani ya mabegi yao.
 
Enzi za Kikwete alipowaalika Viongozi Wakuu wa CHADEMA Ikulu baada ya mazungumzo Tundu Lissu alitoa chupa ya Maji kwenye mkoba wake akanywa wakati akina Mbowe wakigonga juice.

Juzi pale Star TV kwenye Agenda na Mtozi huyu Mhe. Lissu alitoa chupa ya Maji kwenye mkoba wake akanywa

Kuna watu Wanaishi kwa kanuni aisee 🐼
Unajadili maji? Alafu utakuta umefika hadi chuo kikuu naukapata digirii!!!
 
Kiti cha kukalia nacho alikwenda nacho studio hapo au alikikuta kimeandaliwa na kuwekewa akae. Acheni kudanganyana danganyana tu hapa na kumsifia mtu vitu ambavyo mwenye akili anaona kuwa hamuelewi mambo mengi sana.
 
Back
Top Bottom