Lowassa aliwezaje kumvumilia Nape bila kumtamkia jambo hadi anafariki? Nape aliwezaje kutokuomba radhi hadi Lowassa amefariki?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,103
Nape aliweza kwenda Ikulu kumwomba radhi Magufuli kwa lengo la kupata madaraka. Lakini alishindwa kwenda kumwomba radhi Lowassa baada ya kumdhalilisha na kumtakia kifo kwenye mkutano wa adhara 2015.

Alitamka maneno ambayo katika hali ya kawaida huwezi kusema yametoka kinywani kwa mwanadamu anayemwabudu Mungu. Kumtakia Lowassa mbele ya watoto kwamba anaji.....a na akapata courage ya kutokumwomba msamaha wala kujutia kauli ile ni jambo la kishetani sana. Ni nafsi katili sana inaweza kufanya ukatili ule aliofanya Nape just kwa ajili ya siasa.

Leo Lowasa amekwenda, si ajabu kumsikia Nape akihojiwa na kusifia Lowasa. Si ajabu kumwona anashiriki kwenye mazishi yake na si ajabu kumwona akijifanya ni rafiki wa familia ya Lowasa.

Just imagine alivyomtukana jukwaani mkewe akimwona anajisikiaje? Then, kiumbe wa aina hii anakwenda kufungia vyombo vya habari na kuhukumu watu kwa utovu wa nidhamu! Hawa wanadamu wa aina ya Nape si wema hata kwa Mhe. Rais, ni watu ambao kwao maisha ni familia yake au yeye kuteuliwa.

Clip ya Nape naamini ni moja ya clip ya kisiasa iliyoonyesha ukomavu wa Lowasa, kabla na baada ya kuacha jukwaa la siasa. Kwamba alimsamehe sijui.
 
Watawafukuza wangapi?


BTW: JF inatumia vigezo gani kufunga mijadala?
 
Yashapita hayo, Acheni ujinga wa kugeuza misiba vijiwe nongwa. Yatatusaidia nini mema na mabaya ya Lowassa. Atakaeropoka upuuzi saivi ndo tunaruka naye ila walioropoka zaman hatuna shida nao maana marehem alikua na nafasi ya kujitetea mwenyewe na hiyo ndiyo siasa. Ahya wewe mleta mada madai yako yataisaidia nini Familia ya marehem?
 
Back
Top Bottom