Kisa cha Benson Mramba kufukuzwa CHADEMA nakukimbilia CCM ni wizi aliyofanya CHADEMA

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Habari wana jamvi? Kwa miezi kadha naona kada wa Ccm aliyekuaga mwanachama wa Chadem Benson Mramba akinukuu na kuandika mambo ya ajabu ajabu sana sasa leo nimeona niwape nini kilichofanya kufukuzwa chadema.

Bwana Benson mimi nikiwa kama Boss wako wa Zamani unakumbuka ulivyo foji cheki nakwenda kuchukua hela ya Chadema Bank? Bwana Benson unakumbuka ulivyouza gari ya chadema kinyemela? Hayo nimachade je unakumbuka ulivyowachangisha wanachama wa Chadema takriban Tanzania nzima kwa kigezo unaeneza chama na ukaenda kuzilia pesa hizo Zanzibar? Jibu nitoe ushaidi

Kumbe na ninyi ni majizi.
Wachaga ni wezi kila mahali.
 
Weka ushahidi kamili mkuu, mhalifu unamtishia nyau ili iweje? Mwaga tu kila kitu hapa akome maana ana kiherehere sana yule jamaa
 
Habari wana jamvi? Kwa miezi kadha naona kada wa Ccm aliyekuaga mwanachama wa Chadem Benson Mramba akinukuu na kuandika mambo ya ajabu ajabu sana sasa leo nimeona niwape nini kilichofanya kufukuzwa chadema.

Bwana Benson mimi nikiwa kama Boss wako wa Zamani unakumbuka ulivyo foji cheki nakwenda kuchukua hela ya Chadema Bank? Bwana Benson unakumbuka ulivyouza gari ya chadema kinyemela? Hayo nimachade je unakumbuka ulivyowachangisha wanachama wa Chadema takriban Tanzania nzima kwa kigezo unaeneza chama na ukaenda kuzilia pesa hizo Zanzibar? Jibu nitoe ushaidi

Mwanahabari Huru
Kilicho wazi ni kuwa chadema ni chaka la mafisadi na majizi turudishie yale majina ya mwembe yanga ili tuzikubali hizi tuhuma zako!
 
Jamaa huwa anaandika kwa chuki hasa kuhusu wale waliomlea hadi leo amefahamika.Ila sishangai.Wajihi wake na jina lake ni ushahidi wa kwanza kumsimanga kwa tabia yake ya udokozi.
 
Habari wana jamvi? Kwa miezi kadha naona kada wa Ccm aliyekuaga mwanachama wa Chadem Benson Mramba akinukuu na kuandika mambo ya ajabu ajabu sana sasa leo nimeona niwape nini kilichofanya kufukuzwa chadema.

Bwana Benson mimi nikiwa kama Boss wako wa Zamani unakumbuka ulivyo foji cheki nakwenda kuchukua hela ya Chadema Bank? Bwana Benson unakumbuka ulivyouza gari ya chadema kinyemela? Hayo nimachade je unakumbuka ulivyowachangisha wanachama wa Chadema takriban Tanzania nzima kwa kigezo unaeneza chama na ukaenda kuzilia pesa hizo Zanzibar? Jibu nitoe ushaidi

Mwanahabari Huru
Atakuwa kawaiga viongozi wake wa juu bila shaka.
 
Wewe ni mwanahabari wa chadema au Mwanahabari huru ?
 
"Affirmati Non Neganti Incumbit Probatio" Leta ushahidi kuthibitisha ngonjera ulioandika hapa ambayo haina vina wala mizani. Ukituhumu lazima uthibitishe,huna document hata moja ya kuthibitisha, na mlikuwa wapi siku zote kumshtaki mpaka akajiondokea mwenyewe leo ndio unakuja na methali ya sungura aliyeshindwa ya sizitaki mbichi hizi?
 
Huyu jamaa ni kiboko ya Mbowe,na hivi anajua siri nyingi za Chadema kuanzia ufisadi mpaka mauaji basi amekuwa mwiba sana Ufipa
Kiboko?Kwa kuanzisha propagation ambazo huwa haziendi umbali wa mita hamsini mbele?Tatizo huwa mnapenda kusikia yafurahishayo masikio na bongo zenu.Halafu mkumbuke huyo kibaka yupo CCM kwa sasa.Ngoja awaibie hadi mikwega mkianika ndiyo akili ziwarudi.
 
huku hamna cha kuiba mkuu
 
"Affirmati Non Neganti Incumbit Probatio" Leta ushahidi kuthibitisha ngonjera ulioandika hapa ambayo haina vina wala mizani. Ukituhumu lazima uthibitishe,huna document hata moja ya kuthibitisha, na mlikuwa wapi siku zote kumshtaki mpaka akajiondokea mwenyewe leo ndio unakuja na methali ya sungura aliyeshindwa ya sizitaki mbichi hizi?
Umeandika kuwa amemuuliza na kumrushia tuhuma.Amemtaka mtuhumiwa aje akanushe ili ushahidi uletwe.Tulia mkuu,utafurahi.
 
Back
Top Bottom