Je tuwaamini?

Pantosha

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
347
462
Wakuu wa nchi za Africa wamekutana nchi Ethiopia ambayo ni makao makuu ya Umoja wa Africa huku agenda zao kuu ni pamoja na masula ya usalama, elimu, uchumi, nk.

Nauliza je tuwaamini kwamba watatuletea Amani, elimu bora pamoja na maendeleo?
 

Attachments

  • IMG_4724.png
    IMG_4724.png
    1.6 MB · Views: 1
Mgogoro mpya ni Senegal wasipokuwa makini Majeshi yanaweza kupindua.

AU wawe wakali kwa Wanajeshi ili warejeshe Madaraka kwa Raia.
 
Back
Top Bottom