Hii ni Taarifa ya kuteketezwa zaidi ya nyumba 500 za wananchi wa kabila la Wasukuma kwa moto, pamoja na tani nyingi za mazao yao ambayo ni pamoja na mpunga, mahindi, maharagwe, mtama, dengu...
Moja ya Askari aliyeshiriki Ukamataji Kisutu amefunga kitambaa ambacho uvaliwa na waumini wa dini flani hasa kipindi Cha mfungo na sikukuu kuashiria vazi lenye star na linaloitambulisha dini hiyo...
Ni aliyekuwa mbunge wa huko Njombe na waziri katika serikali ya awamu ya kwanza na ya pili Mhe. Jackson Makwetta amefariki dunia jioni ya leo.
Alazwe pema peponi
Chanzo: Ndugu wa karibu na...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nikiwa na umri mdogo nilihudhuria pale katika uwanja wa ndege wa kimataifa jijini Dar es salaam, kumuaga mzee wetu...
Kufeli kwa serikali ya CCM sasa kumegonga pentagoni. Jiji la Dar es laam sasa limegeuka jiji la uhaba wa maji na umeme.
Kwenye ishu ya maji, kuna mgao wa siku tatutatu na maji yanatoka masaa...
Wanajukwaa ninaungana na watanzania wote kuomboleza kifo cha mzee wetu Ali Hassan Mwinyi. Familia yake ijawe na faraja na subra katika kipindi chote kigumu. Mungu ailaze roho ya Babu mahala pema...
Rais Mstaafu Kikwete amesema mabadiliko ya Kiuchumi na Kisiasa nchini yameletwa na mzee Mwinyi
Kikwete amesema Mwinyi ndio alishauri yafanyike mabadiliko Wakati 80% ya Watanzania bado Wana Imani...
Nimeona Rais Samia anatangaza msiba wa Mwinyi (akielekeza sehemu ya hotuba yake ifutwe pasipo kujua yuko live, kwa hili kwanza kurugenzi ya mawasiliano ikulu ilitakiwa ivunjiliwe mbali na...
Mwaka huu unaomalizika 2022 nimebahatika kusoma vitabu mbalimbali 33 (2021:29, 2020:16, 2019:34). Ulikuwa mwaka mzuri kwa usomaji vitabu na pia mwaka ambao nilibahatika kupata zawadi nyingi za...
Hizi heka heka za mivutano baina ya serikali kupitia NHIF na watoa huduma za afya wa vituo binafsi sio jambo lenye kheri, mwisho wake utakuwa mbaya sana.
Haijarishi nani ataibuka mshindi lakini...
Fuatilia utoaji wa heshima za mwisho kwa Rais Mstaafu Mwinyi, ambapo ratiba ya maziko yake inaanza leo, nyumbani kwake, ambapo baada ya sala ya sala ya Ijumaa na taratibu kidini kukamilika mwili...
Tundu Anti-Pass Lissu, akihojiwa na Star TV, alieleza kwamba kwa upande wa chadema, wao ufisadi wala sio issue kwao, si ya kwanza, ya pili au ya tatu ,ya tisa huko.
Je, wakiingia madarakani, wana...
Katika hili sakata la kitita cha Mafao ya matibabu nichangie kwa kuanza kusema.
Afya ni siasa, Afya ni Biashara na Afya ni Maisha
Hakuna ubishi kuwa Serikali inapaswa kushirikiana na watoa...
MSIMAMO WA WIZARA YA AFYA KUHUSU MABORESHO YA KITITA NHIF 2023.
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amevielekeza Vituo Binafsi vilivyoingia mkataba na NHIF Kuzingatia masharti ya Mikataba yao...
MBUNGE ZUBEIDA SHAIB Atembelea Miradi ya Elimu ya Jimbo la Mfenesini
Mbunge wa Jimbo la Mfenesini, Mhe. Zubeida Khamis Shaib amefanya ziara katika kukagua miradi ya elimu ya madarasa...
Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu, hiki ndio kipindi cha kufanya tafakari za sifa za mgombea anayefaa na asiyefaa kuchaguliwa kuwa kiongozi.
Wakati wa kampeni ukianza...
Rejea kichwa cha habari. Kwangu mini marehemu mzee wetu Ally Hassan Meinyi ndiye rais peke ambaye alistafu kiuhalisia na kuacha wengine waongoze nchi kwelikweli.
Ukiachia yeye wengine wamekuwa...
Viongozi wa Tanzania , kama walivyo viongozi wengi wa Kiafrika huamini kwamba wana akili nyingi sana na pia wanadhani uwezo wao wa kufikiri ni mkubwa kuliko Mtanzania yeyote yule
Imani yao hii ya...
Wakuu,
Ni kwamba "Wanyonge" ndio jina tulilokubali kuitwa na kuliishi hatuwezi kabisa kutoka humo hata tufanyiwe aina yoyote ya upuuzi hatutafanya kitu? Tunamuachia Mungu?
Tunalipia huduma hizi...