Kikwete: Mzee Mwinyi ndio alileta Mfumo wa Vyama Vingi, CCM itashinda 2025 na 2030 kwa busara za mzee Mwinyi kukubali Mabadiliko Wakati Ule!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,000
142,027
Rais Mstaafu Kikwete amesema mabadiliko ya Kiuchumi na Kisiasa nchini yameletwa na mzee Mwinyi

Kikwete amesema Mwinyi ndio alishauri yafanyike mabadiliko Wakati 80% ya Watanzania bado Wana Imani na CCM

Busara hizo ndio zimeisaidia CCM kuendelea kushinda 2025, 2030 na kuendelea

Source: TBC
 
Nimeona anasema ccm itashida daima milele,

Hizi kauli ni za uchochezi,
 
Rais Mstaafu Kikwete amesema mabadiliko ya Kiuchumi na Kisiasa nchini yameletwa na mzee Mwinyi

Kikwete amesema Mwinyi ndio alishauri yafanyike mabadiliko Wakati 80% ya Watanzania bado Wana Imani na CCM

Busara hizo ndio zimeisaidia CCM kuendelea kushinda 2025, 2030 na kuendelea

Source: TBC
Kumbe haukuwa ushauri wa Nyerere? Au kwa sababu kafa mzuri mwenzao?
 
Kaeleza vyema kwny kitabu chake, kazi kubwa ya kushawishi kamati kuu ya CCM kuridhia mfumo Vyama vingi ilifanywa na Kamati aliyounda chini ya Mzee Kingunge Ngombale alieshauri bora wavianzishe vyama vingi ili wavisimamie kwa kuratibu kuliko vikija kwa kasi ya mabadiliko vitawashinda kuvi control na keki wakaweza kuviratibu hadi leo tuna enjoy Siasa za Chadema na ACT wazalendo hadi Mabalozi hawaamini kinachoendelea jinsi Siasa za Nchi hii zinavyoenda

Nyerere alipewa tu zile sifa kwa heshma tu
 
Mwandishi wa Habari akajaribu kumuuliza swali la ziada Jakaya kuwa wewe sasa ndio Rais Mstaafu pekee ukiebakia, kabla hajamaliza akamjibu swali hilo halina maana huyooo akaelekea kwny gari lake, mwandishi akabaki kapigwa na butwaa
Ni kweli swali la kijinga,kamstahi tu kusema halina maana,ni swali la kijinga haswa,lengo la mwandishi lilikua nini!?
 
Rais Mstaafu Kikwete amesema mabadiliko ya Kiuchumi na Kisiasa nchini yameletwa na mzee Mwinyi

Kikwete amesema Mwinyi ndio alishauri yafanyike mabadiliko Wakati 80% ya Watanzania bado Wana Imani na CCM

Busara hizo ndio zimeisaidia CCM kuendelea kushinda 2025, 2030 na kuendelea

Source: TBC
Kulikuwa na haja gani kuongelea mambo ya kushinda uchaguzi wakati wa msiba. Wanawaza kutawala tu.
Rais Mstaafu Kikwete amesema mabadiliko ya Kiuchumi na Kisiasa nchini yameletwa na mzee Mwinyi

Kikwete amesema Mwinyi ndio alishauri yafanyike mabadiliko Wakati 80% ya Watanzania bado Wana Imani na CCM

Busara hizo ndio zimeisaidia CCM kuendelea kushinda 2025, 2030 na kuendelea

Source: TBC

ala
 
Back
Top Bottom