chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 12,003
- 20,679
Tundu Anti-Pass Lissu, akihojiwa na Star TV, alieleza kwamba kwa upande wa chadema, wao ufisadi wala sio issue kwao, si ya kwanza, ya pili au ya tatu ,ya tisa huko.
Je, wakiingia madarakani, wana nguvu ya kisiasa ya kupambana na ufisadi? Wameshauona kama sehemu ya maisha yao, au maisha yao yamekuwa sehemu ya ufisadi, kwa hiyo wanaogopa kuukata mkono unaowalisha?