"Chadema ni CCM B" - Mzee Mwinyi

Tutakukumbuka daima kwa ili angalizo, rest in peace
 
Mzee wetu Mpendwa Mzee wa KUWAJIBIKA ulio tutoa kwenye sabuni za Mapapai na mlendapori kaampe salaam Julius......mwambie huku wazee wenzake wa JUWATA wanateseka na Zigo zito la KIKOKOTO

Daima watu wa NAMANGA watakulilia sana....
 
😥😥
Screenshot_20240229-224850.png
 
JPM the great.
Wasukuma aliowapendelea JPM ndio waliomwangusha maana waliiba hela na kushindwa kuizungusha. Hela zilizoibwa miaka ya JPM ziliishia kwa wanawake na magari ya bei mbaya. Aliwawezesha viwanja bora vya NHC kule chato wote mkashindwa kumsupport na kuvinunua. Kuna yule alikuwa waziri wa maliasili na utalii alipiga 2 billions akaishia kufanya biashara ya kununua na kuuza mazao are you serious ? Wakati Juzi juzi tumeshuhudia huyu tajiri wa Manyara anakuambia ameanza na mtaji wa 25 millions. Maisha ukiyafosi kuna vitu vingi unaviruka.
 
Wapeleke mahakamani.
 
Ni kawaida ya Godbless kuleta vituko kwenye mazishi wa viongozi wetu wa kitaifa.Watanzania wanasubiri kuona ni kituko gani huyu mwamba wa CANADA atatoka nacho kama alivyokera wakati wa mazishi ya mzee wetu LOWASSA?
 
Back
Top Bottom