Kuanzia tupate uhuru, Hayati Ali Hassan Mwinyi ni Rais pekee ambaye aliuvaa ustaafu kiuhalisia

Wasomba

JF-Expert Member
Dec 19, 2016
323
475
Rejea kichwa cha habari. Kwangu mini marehemu mzee wetu Ally Hassan Meinyi ndiye rais peke ambaye alistafu kiuhalisia na kuacha wengine waongoze nchi kwelikweli.

Ukiachia yeye wengine wamekuwa wakiingilia tawala na kuwa kikwazo hasa kwa maendeleo na kukua Kwa demokrasia ya nchi yetu.

Baadhi ya Marais wastafu ndiyo wamekuwa kikwazo katikati upatikanaji wa katiba mpya na hata uchaguzi wa huru na haki huku bars na hata viwsiwani.

Kuanzia astafu kazi ya urais mzee wetu Mwinyi RIP amekuwa mtu mtulivu na asiyependa kuingilia majukumu ya watu wengine. Yeye aliacha damu changa ifanye kazi pasipo kuingiliwa.
 
Back
Top Bottom