Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chadema inayo mambo madogo madogo ya kujirekebisha hasa kupitia wafuasi wake ambao hujikuta wakitoa maneno yaliyokosa hekima, busara, wala mwelekeo huo wa kukubalika Niliandika uzi...
6 Reactions
7 Replies
1K Views
Bila unafiki na wala kupepesa macho ukweli usemwe tu Zitto Kabwe ndiye role model wa vijana wengi sana kuingia kwenye Siasa yaani kile kipindi ambacho Zitto yuko kwenye prime yake vijana wengi...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
USHETU: Kamati ya Siasa Yaridhishwa na Kasi ya Maendeleo Ushetu Wananchi katika Halmashauri ya Ushetu Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga wahaswa kuendelea kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya muungano...
0 Reactions
0 Replies
541 Views
Tufunge tu Mjadala kwa kusema kwenye Siasa hakuna Rafiki wala Adui wa kudumu kama alivyosema Mbowe Wakati akimtambulisha Dr Slaa pale Mwanza Ila kuna ule Urafiki wa kitaa au mtaani kiukweli JK...
9 Reactions
37 Replies
4K Views
Chalamila asema ukimsikiliza Dr. Janabi anasema ulaji wa sukari nyingi unasababisha maradhi mengi, kwahiyo wakati huu ambako sukari imeadimika tuachane nayo kabisa ili usiweze kupata matatizo ya...
8 Reactions
52 Replies
5K Views
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema nchi haina uhaba wa dola, bali baadhi ya watu wamezihifadhi wakitarajia bei itapanda, ikisisitiza hakutakuwa na ongezeko hilo kutokana na hatua za ndani na nje...
4 Reactions
51 Replies
4K Views
Asalaam Aleykum wana jamvi. Waswahili walisema, ukicheka nyani, utavuna mabua. Hiki ndicho kinachotokea Tanzania. Reports nyingi za CAG zinazoonesha "nyani" wanaolitesa Taifa hili zimekuwa...
16 Reactions
89 Replies
5K Views
Japo mimi sio mtaalamu wa mambo ya kifedha, lakini napata wasiwasi kuwa sababu ya upungufu wa dola hapa nchini inaweza kusababishwa na ama kupungua kwa fedha za wahisani kama sio matumizi ya dola...
2 Reactions
3 Replies
634 Views
Dakika chache baada ya waziri Nape kukanusha kuwa serikali ya rais Samia haihusiki na kukifuta kipindi cha mahojiano kilichopaswa kuruka leo asubuhi pale Wasafi FM, kuna tetesi kuwa Chalamila...
12 Reactions
62 Replies
6K Views
Tanzania hakuna umeme, sukari wala dola. Huku tukiambiwa kuwa awamu hii uchumi unakua kuliko awamu yoyote ile, makusanyo ya TRA yakivunja rekodi. Tatizo la umeme nalo limekua sugu bila kupata...
24 Reactions
121 Replies
7K Views
Wakandarasi karibu wote wa Mkoa wa Mara tumepata mateso makubwa kutokana na vitendo vya rushwa vinavyoendekezwa na Mameneja hawa. Kwanza kupata kazi lazima utoe millioni tano. Bila millioni tano...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo nimepita pale Magomeni Usalama yalipo Makao Makuu ya Chama cha TLP kilichokuwa kinaongozwa na Hayati Kada Augustino Lyatonga Mrema. Jengo la Chama limechakaa na inavyoonekana hakuna shughuli...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Chadema wamekuwa wakiandamana wakati huo huo watawala hawagopi wala kusikiliza hoja zao ....wengine hawaogopi kabisa wanasafiri wanaenda hadi nje ya nchi wanajua maandamano hayana...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
19 February 2024 STRATEGIC MEETING FOR STRENGHTHENING BILATERAL COOPERATION BETWEEN THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA AND THE ARAB REPUBLIC OF EGYPT IN THE TRANSPORT SECTOR...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Tanzania ni nchi ambayo msemaji wa chama anatembea na msafara! Magari ya milioni 400 kwa gari moja. Tunaenda kuomba msaada na kodi za wazungu kwa nchi ambazo mawaziri hawana misafara na wanapanda...
13 Reactions
16 Replies
1K Views
KAMATI YA BUNGE YAISHAURI TAMISEMI USIMAMIZI WA MIRADI YA ELIMU Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) imeshauri Ofisi ya Rais, TAMISEMI kusimamia miradi...
0 Reactions
0 Replies
382 Views
Njia ya hakika ya kuwa na dola za kutosha ni kuwa na trade surplus. Yaani uuze kuliko unavyonunua. Lakini hili halipo karibu kwa nchi zote za Afrika. Sasa mbinu iliyobaki ni kukabiliana/kumanage...
1 Reactions
73 Replies
4K Views
Wakuu, Haya ni baadhi ya majibu kutoka kwenye uzi huu; Kwanini hupigi kura licha ya kuwa una sifa zinazokuruhusu kufanya hivyo? Majibu haya yanaakisi majibu ya wengi juu ya zoezi la kupiga...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Wamemwaga misaada ya kutosha kwa waathirika wa mafuriko kule Hanang. Kwa macho ya kawaida unaweza kushukuru sana na kuwamwagia sifa kibao kuwa jamaa ni wanatupenda sana kwa moyo. Wana Hanang...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Akiongea Mkoani Dar Es Salaam, Mkuu wa Mkoa Albert Chalamila amesema "Kwa Miezi michache iliyopita nilisema Dar es Salaam hakuna mafuriko, nilikuwa namaanisha huu Mchezo wa kuitikia mafuriko...
1 Reactions
1 Replies
859 Views
Back
Top Bottom