Hayati Nyerere alifanya Watanzania tudharauliwe sana na nchi za nje hasa Zimbabwe na Kenya

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,126
4,169
Aliacha kujenga taifa lake akabaki kupigania uhuru wa mataifa ya nje ambayo hivi leo hayana msaada kwetu.

Kilichobakia ni kudharauliwa tu bila hata soni.

Tulionekana hatujui kiingereza, nchi inabarabara mbovu, shule mbovu huku watoto wakikaa nchini na kuvaa masempele mashuleni.

Wazimbabwe na Wakenya walitudharau sana.

Nyerere aliharibu sana basi tu.
1000011679.jpg
 
Aliacha kujenga taifa lake akabaki kupigania uhuru wa mataifa ya nje amabayo hivi leo hayana msaada kwetu.

Kilichobakia ni kudharauliwa tu bila hata soni...
Wazimbabwe gani hao waliotudharau?

Tuliowasaidia kupata uhuru 1980?

Hawa hawa waliokuwa wakiongozwa na ZANU PF-Chama rafiki wa CCM?

Mugabe na Nkomo wote walikuwa washikaji wa Nyerere...

Hisia zako zaweza kuwa kweli kwa Wakenya, ila sio Wazimbabwe.
 
Huu ujinga tuliokuwa tunalishwa eti tulisaidia Zimbabwe kupata uhuru sijui utaisha lini.

Masikini utamsaidia nani kupata uhuru?
 
Huu ujinga tuliokuwa tunalishwa eti tulisaidia Zimbabwe kupata uhuru sijui utaisha lini. Masikini utamsaidia nani kupata uhuru?
Me huwa nashangaa watu wakisema eti tulisaidia nchi kadhaa uhuru
Muda wa ukoloni ulikuja Africa tukatawaliwa
Na uhuru tulipewa tu hatukupigania uhuru wowote
Kwani hadi saiv kuna Africa wa Wakoloni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu unakuta watu wanakaza fuzu kwa historia za kubumba. Ndio maana ukienda kwenye hizo nchi wanashangaa ukisema Tanzania iliwasaidia kupata uhuru.
 
Aliacha kujenga taifa lake akabaki kupigania uhuru wa mataifa ya nje amabayo hivi leo hayana msaada kwetu.

Kilichobakia ni kudharauliwa tu bila hata soni.

Tulionekana hatujui kiingereza, nchi inabarabara mbovu, shule mbovu huku watoto wakikaa nchini na kuvaa masempele mashuleni.

Wazimbabwe na Wakenya walitudharau sana.

Nyerere aliharibu sana basi tu.
View attachment 2913637
Sioni pointi yako kama Ina mashiko. Tenda wema nenda zako usingoje shukrani. Nyerere ndicho alichofanya
 
Daaaah, mkuu wewe ndiye tatizo linalofanya nchi isiendelee. Wajerumani hawakumlaumu Hitler Kwa kuwatumbukiza vitani. Wamepambana kuirudisha nchi relini. Pambana Sasa uiendeleze nchi Yako badala ya kuupiga kelele.
 
Aliacha kujenga taifa lake akabaki kupigania uhuru wa mataifa ya nje amabayo hivi leo hayana msaada kwetu.

Kilichobakia ni kudharauliwa tu bila hata soni.

Tulionekana hatujui kiingereza, nchi inabarabara mbovu, shule mbovu huku watoto wakikaa nchini na kuvaa masempele mashuleni.

Wazimbabwe na Wakenya walitudharau sana.

Nyerere aliharibu sana basi tu.
View attachment 2913637
Nyerere sio tu kaharibu Tanzania bali ukanda wote wa Africa kusini mwa janga la sahara,yeye katuwekea puppet wa west hawa wakina Kagame na M7
 
Aliacha kujenga taifa lake akabaki kupigania uhuru wa mataifa ya nje amabayo hivi leo hayana msaada kwetu.

Kilichobakia ni kudharauliwa tu bila hata soni.

Tulionekana hatujui kiingereza, nchi inabarabara mbovu, shule mbovu huku watoto wakikaa nchini na kuvaa masempele mashuleni.

Wazimbabwe na Wakenya walitudharau sana.

Nyerere aliharibu sana basi tu.
View attachment 2913637
Ndiye chanzo cha umasikini wa taifa hili
 
Kiingereza inakusaidia nini we bwege. Unadharauliwa wewe na lazima udharauliwe kwa akili hizo. Nchi yetu inaheshimika dunia nzima usitulinganishe na vinyago vya mpapure
 
Halafu unakuta watu wanakaza fuzu kwa historia za kubumba. Ndio maana ukienda kwenye hizo nchi wanashangaa ukisema Tanzania iliwasaidia kupata uhuru.
Kwani ni uwongo?mbona kambi za mafunzo ya Askari wao zipo Dodoma, Morogoro na Iringa. Au wewe Mrundi,mbona historia ipo wazi.

Historia haifutwi kwa kutoipenda na ata usipoipenda itabaki kuwepo!
 
Ndiye chanzo cha umasikini wa taifa hili
Muacheni Nyerere apumzike, mbona sasa hivi hayupo tunachimba mpaka madini achilia mbali kuuza viwanda alivyojenga; are we rich now?

Umasikini kwa Afrika ni kawaida tu,ata tusingesaidia vita za ukombozi bado tungekuwa masikini tu kama tulivyo leo!!
 
Nikumbumbushe tu, Tanganyika haikupigania uhuru, iliwekewa kwenye sahani.
 
Aliacha kujenga taifa lake akabaki kupigania uhuru wa mataifa ya nje amabayo hivi leo hayana msaada kwetu.

Kilichobakia ni kudharauliwa tu bila hata soni.

Tulionekana hatujui kiingereza, nchi inabarabara mbovu, shule mbovu huku watoto wakikaa nchini na kuvaa masempele mashuleni.

Wazimbabwe na Wakenya walitudharau sana.

Nyerere aliharibu sana basi tu.
View attachment 2913637
Sema wewe unajidharau tu. Hilo tatizo huwezi kusaidiwa😎
 
Aliacha kujenga taifa lake akabaki kupigania uhuru wa mataifa ya nje amabayo hivi leo hayana msaada kwetu.

Kilichobakia ni kudharauliwa tu bila hata soni.

Tulionekana hatujui kiingereza, nchi inabarabara mbovu, shule mbovu huku watoto wakikaa nchini na kuvaa masempele mashuleni.

Wazimbabwe na Wakenya walitudharau sana.

Nyerere aliharibu sana basi tu.
View attachment 2913637
Kweli kabisa, huyu mzee alizingua wacha tu wachonga vinyago wa Ethiopia waharibu sanamu lake
 
Back
Top Bottom