Kwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na...
Waziri wa Uchumi Prof Kitila Mkumbo amesema Serikali imebana Matumizi Viongozi hawaishi Maisha ya Anasa Magari yamebaki kwa viongozi wa juu tu.
"Watumishi wengine wote tunatumia Magari yetu kama...
Kupitia kwenye ukurasa wao wa Instagram, Radio ya EFM imepost video inayoashiria kuwa ni kejeli kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
Kwenye video hiyo iliyopewa Title "Subiri pajae ndio upige...
Mgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini.
Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali...
Salaam..
Nimesikia mwanamama mmoja akiongea kuwa yeye ni ndugu yetu kule Dar es Salaam. Kwa taarifa tu sisi watu wa Monduli kwetu watoto ni baraka na neema, nimeshangaa ametukosa ukoo mzima...
Kama kuna sehemu ambapo wakati mwingine wa Kenya wananivuruga ni maswali hayo mawili ambayo kwa kweli yanataka kuuliza "kuna tatizo gani?" Lakini ni maswali ambayo yanahitaji udadisi na majibu...
Chakula cha Mawazo: Unafikiri ni kwa kiasi gani ubunifu (creativity) una nafasi katika kubadilisha maisha mtu, kikundi cha watu, jamii au hata taifa kwa ujumla. Unafikiri Watanzania kama mtu mmoja...
Huyu dada ni kichwa haswa, amenyooka kiakili kama rula. Hababaiki wala hababaishi.
Wakili Msomi Dr. Tulia Ackson atatufaa sana mwaka 2025. Samia akae kando atupishe tujipatie chuma hiki cha...
https://www.youtube.com/watch?v=SH9ks-0_wQ8
Mimi ni mmoja wa watu tulobahatika kuhudhuria msiba wa marehemu Edward Ngoyai Lowassa na nikawa na shauku kubwa ya kusikia historia ya mwanasiasa huyu...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika hakuna chama cha upinzani kwa sasa wala kiongozi wala mtu yeyote yule kutoka upinzani ,anayeweza kufanya mkutano mkubwa ambao ukahudhuriwa na maelfu ya wananchi...
Sukari kizungumkuti, umeme kizungumkuti, maji kizungumkuti, huduma za jamii(Afya, Elimu, Miundombinu nk.) kizungumkuti.
Kwa ujumla karibu mambo yote ni kizungumkuti.
Je, atagombea tena 2025?
Nani nauliza tu, ni nani anaweza kuwa Rais na Watanzania wakawa hawana wasiwasi nae!
Niwaonavyo viongozi wa CHADEMA nyuma ya pazia ni wabinafsi.
Ukweli wana ueledi wa kufoka ila ukikusanya...
Kichwa cha habari kinajieleza.
Nina mshauri Kwa moyo mkujufu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi , afuatilie utendaji kazi wa Katibu wa CCMwilaya ya Hai, huko...
Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali, kwamba ikiwa iko wazi na dhahiri kabisa kwamba raisi wa Tanzania anaekuwa madarakani, anaamua kwa makusudi na huku akijua hilo, au kwa kushauriwa vibaya, au...
Ni kama vile tumeshaifikia Babeli mnarani na kila mtu ananena kwa Lugha ya kule alikozaliwa, hatuelewani yani
Naibu waziri anasema Umeme Machi, Spika anasema tufanye June, Doto anasema...
Nimesikiliza wasilisho la Ansbert Ngurumo kwenye Online TV akidai kuwa Rostam aliwapa mkono waombolezaji wote waliokaa mbele na kumruka Kikwete kwenye msiba wa Lowasa huko Monduli.
Mliokuwepo ni...
CHAMA Cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA) kinaungana na Chama cha Waandishi wa Habari mkoa Simiyu (SMPC), kulaani tukio la Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simalenga...
Uwakilishi wa kisiasa ni nguzo muhimu katika demokrasia, ambapo vyama vya siasa vinapaswa kuwakilisha mahitaji na maslahi ya idadi kubwa ya wananchi. Hata hivyo, katika mazingira mengi, kuna utata...
Alianza Kugwangala kudai kuna waziri amenunua hekalu Dubai
Akaja Lucas akasema Mbowe ana ghorofa kijijini kwao Machame
Leo Watu wanajadili Saa
Hizi zote ni dalili za hali Ngumu Sana ya Maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.