Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,705
- 36,154
Hello!
Natanguliza shukrani kwa serikali kwa uamuzi makini wa kufuta baadhi ya taasisi zake na zingine kuziunganisha.
Nadhani ni mwaka jana kama sijakosea nilileta uzi wa kutaka serikali ifute au iunganishe baadhi ya taasisi zake kwakuwa zingine zimekuwa mzigo na zingine kukosa ufanisi.
Few months later nikasikia Mh. Rais ALISEMA kuwa ifanyike inspection ya mashirika ya umma ili ikiwezekana mengine yafutwe au yaboreshwe.
Jana tumeona utekelezaji.
Thanks.
NIDA ndio iliongoza kupigiwa kelele kwenye ule uzi, sasa natumaini mambo yamekaa sawa baada ya kuwekwa kapu moja na RITA.
Ila bado msako uendelee ,
Mimi kero yangu kwa sasa ni hizi mamlaka za usambazaji maji.
Dar es salaam miji mipya karibu yote haina maji.
Zifumuliwe haraka .
Haiwezekani leakage ya maji idumu kwa miaka 2 huku wao wanalipwa mshahara.
Nazijua leakage 2 ambazo zinaashiria kuwa hizi mamlaka zimejaa matahira wanaojua kunyoosha nguo na wanaomiliki ATM card mfukoni.