Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Niwapongeze wale Mabula Wawili wa Mwanza kwa kuelewa Maandamano ya Chadema hayakuwalenga wao majimboni mwao bali yalikuwa ya kitaifa zaidi Mrisho Gambo wala usipanic bwana mdogo yachukulie...
1 Reactions
1 Replies
637 Views
Mkitaka kufanya maandamano ya aina yoyote ile yawe ya shughuli za kisiasa, kidini, michezo au yawayo yoyote, sheria inawataka kulitaarifu jeshi la Polisi. Japo polisi hawana mamlaka ya kuzuia...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari JF , baada ya kupata taarifa za kicho cha Rais wa Nambia Hage Geingob ,82 kwa masikitiko makubwa nliamua kupitia kipengere cha urais katika katiba yao. Kwa kifupi uchanguzi wa haraka...
13 Reactions
85 Replies
8K Views
Ndugu wana JF sina mengi na sitaki niwachoshe ila kuna Jambo moja naomba nipate ufafanuzi kutoka kwenu wajuvi wa idara hii ya usalama wa Taifa. Tangu nikiwa mdogo nimekuwa nikisikia sikia uwepo...
9 Reactions
63 Replies
8K Views
23 February 2024 Morogoro, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=Z53l5mEXWwU Migogoro ya ardhi kutokana na wingi ya idadi ya watu nchini, matumizi ya ardhi kwa kilimo na ufugaji yanatakiwa...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Watu wengi wa CCM hata upinzani wamekuwa waoga kujitokeza kuwapongeza wabunge wa kambi rasmi ya upinzani ikiongozwa na wabunge 19 wa viti maalum kupitia CHADEMA na mmoja wa kuchaguliwa CHADEMA...
2 Reactions
3 Replies
860 Views
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi ametua Uwanja wa Ndege wa Tabora leo kushiriki mazishi ya Mzee Hassan Mohammed Wakasuvi. Nimeona Daktari ametimba mjini Tabora na ndege ya Serikali. Swali langu...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
NImekaa Hapa Baada ya Mapunziko ya Weekend nimeona nilete mjadala mdogo. Mjadala huu unahoji ni kwa nini Wabunge wanateuliwa Kuwa Mawaziri?Kuteu Mbunge kuwa waziri ni matumizi mabaya ya Rasilimali...
3 Reactions
3 Replies
633 Views
Amani iwe kwako mkuu wangu wa nchi. Nimeweka heading hiyo kuweza kukuvutia kusoma usuli wa hoja yangu. Sote tunafahamu kwa Mujibu wa Katiba kuwa tasisi unayoiongoza imepewa mamlaka ya kuunda...
17 Reactions
56 Replies
3K Views
Kuna Watanzania wamejitokeza na kumlaumu sana Waziri wa Kilimo juu ya Upungufu mkubwa na bei kubwa ya Sukari. Walio wengi wakamtaka Waziri Bashe AJIUZULU mwenyewe la sivyo Watamwomba Mh. Rais...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Mmesahahu sakata la kuanzisha ofisi ya Kadhi mkuu? Hili taifa ni secular. Iweje tatizo la uhaba sukari litatuliwe kipindi cha mfungo wa Ramadhani? Wapagani na Wakristo nao wanajisikiaje? Huyu...
9 Reactions
35 Replies
2K Views
Hili swali hata mimi naomba kuuliza japo nimelikuta mahali. Naomba kuuliza swali? Kuwa chama tawala kunatokana na kushikilia mhilili wa Serikali, mhimili wa Bunge au vyote viwili? Mfano; Chama...
5 Reactions
78 Replies
4K Views
Mh. January Makamba wakati anapewa wizara ya Nishati alitoka na swaga nyingi huku akituaminisha kwamba, amekuja na dawa ambayo mtangulizi wake Kalemani aliyekuwa waziri wa wizara hiyo kudai...
11 Reactions
57 Replies
3K Views
Sentence case: Kwa kweli nimejiskia aibu na fedheha kubwa kumsikia waziri wa mambo ya nje Augustine Mahiga akimtetea rais eti hajaenda kwasababu ya kubana matumizi. Kweli? Kama ni kubana matumizi...
11 Reactions
128 Replies
9K Views
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema sukari haitakuwa tatizo katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na wakuu wa mikoa wamepewa maelekezo kilo moja isizidi Sh 2,300. Alisema hayo jana wakati wa...
3 Reactions
170 Replies
18K Views
Mbunge wa Jimbo la Kawe na mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi Askofu Gwajima leo tarehe 22 Februari 2024 amekabidhi ambulance kwenye kituo cha afya Kawe Ukwamani Dar es Salaam...
9 Reactions
27 Replies
3K Views
Wanabodi, Hizi kelele za wanasheria manguli wabobezi na wabobevu kuhusu hii IGA ya DPW na Bandari zetu, sio za kuzipuuzia!. Katiba hii mbovu tuliyonayo!, Sheria zetu mbovu tuliyonayo, mikataba...
57 Reactions
192 Replies
14K Views
Ndugu habari za muda huu, naomba kuuliza kwa wadau mbali mbali na hata serikalini kama inawezekana tupewe majibu kabla sijatoa ya moyoni. Kuna tetesi huko huko duniani nazisikia naomba uthibisho...
14 Reactions
160 Replies
12K Views
Katibu mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Padre Dkt. Kitima amesema TEC imetoa mafunzo kwa Mapadre Ili nao wakatoe Elimu ya Uraia na Ushiriki wa maswala ya Siasa kwa watu. Credit: Lema ukurasani X
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Back
Top Bottom