Rais Samia atua Namibia kumzika Hayati Dkt. Geingob

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo, Ijumaa Februari 23.2024 amewasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hosea Kutako ulioko jijini Windhoek, nchini Namibia kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Rais wa Namibia Hayati Dkt. Hage Geingob

20240223_203439.jpg


20240223_203426.jpg


20240223_203440.jpg


Shughuli za mazishi ya kitaifa ya Hayati Dkt. Geingob zinatarajia kufanyika katika jiji la Windhoek nchini humo kesho, Jumamosi Februari 24.2024
 
Back
Top Bottom