Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,753
- 218,340
Najua nyuzi za namna hii huwa hazipendwi sana , hii ni kwa sababu zinaanika uozo wa nchi , viongozi wa nchi , pamoja na watendaji Wazito wenye madaraka Makubwa , maeneo mengine wanaitwa Wawezeshaji ( watoa hela )
Kwenye Nchi ambayo umeme unakatwa kwa eneo la 75% , kwa wakati mmoja huwezi kusema neno lingine zaidi ya kusema Nchi hiyo haina Umeme , Wala siyo Aibu maana ni kweli kwamba Umeme Hakuna .
Ni vema Watanzania tukajifunza kusema ukweli , Maana ukweli haujawahi kuwa dhambi , bali uongo ni dhambi , fedheha na Aibu kuu .
Nakulilia Tanzania