Hivi maandamano ya amani ya CHADEMA yana tija gani mbona mambo yanazidi kuwa magumu kwa wananchi? Au ni usanii tu

TikTok2020

JF-Expert Member
Oct 20, 2022
1,817
3,140
Wanajamvi kichwa cha habari chajieleza

CHADEMA walianza maandamano ya amani kuishinikiza serikali kupunguza makali ya maisha kwa wananchi tarehe 24.01.2024

Hali ya sasa inayoendelea nchini ni kama maandamano hayo yamezidi kuchochea hali mbaya na yanaonyesha hayana tija yoyote zaidi ya kuleta usumbufu kwa wananchi

Nchi inapita wakati mgumu wa kukosa
1. Sukari
2. Umeme
3. Maji
4. Dola
5. Mfumuko wa bei

Je, maandamano hayo ni usanii na dhihaka kwa wananchi?
 
Yaani serikali iliyopo madarakani ndiyo inatakiwa irekebishe yale yanayolalamikiwa na CHADEMA na wengineo na siyo CHADEMA ilete tija ilhali haina bunge wala serikali kwa ujumla wake.
 
Shida yangu kwa nini serikali hairekebishi?Hali inazidi kuwa mbaya au hawajatishika
 
Maandamano/matembezi ya jisani ya CHADEMA yana tija. Yatawasaidia kupunguza vitambi walivyovipata kwa kufakamia ruzuku ya 2.7b kimyakimya.
Point👍

NB:Halafu kweli ni matembezi ya hisani na sio maandamano,thank you
 
Wanajamvi kichwa cha habari chajieleza

Chadema walianza maandamano ya amani kuishinikiza serikali kupunguza makali ya maisha kwa wananchi tarehe 24.01.2024

Hali ya sasa inayoendelea nchini ni kama maandamano hayo yamezidi kuchochea hali mbaya na yanaonyesha hayana tija yoyote zaidi ya kuleta usumbufu kwa wananchi

Nchi inapita wakati mgumu wa kukosa
1. Sukari
2. Umeme
3. Maji
4. Dola
5. Mfumuko wa bei

Je, maandamano hayo ni usanii na dhihaka kwa wananchi?
Itisha na wewe maandamano

Ova
 
Hahaha mkuu napata shida juu ya uwelewa wako yaani kuhusisha Chadema na maisha magumu yanayosababishwa na serikali.

Ilaumi serikali yako kwa hali inayoendelea nchini na uipongeze Chadema kuelezea hisia za wananchi juu ya maisha magumu nchini.

Pamoja na hivyo serikali na viongozi wake wala hawana habari, ndio kwanza safari zinazidi bila kutokea ufafanuzi juu ya matatizo nchi inayopitia kwa sasa.

Ikishindwa kurekebisha hali, hukumu yao ni kwenye sanduku la kula, uwakatae wagombea wao pia uilinde kura yako isiibiwe wakati wa kuhesabu sawa kijana?
 
Wanajamvi kichwa cha habari chajieleza

Chadema walianza maandamano ya amani kuishinikiza serikali kupunguza makali ya maisha kwa wananchi tarehe 24.01.2024

Hali ya sasa inayoendelea nchini ni kama maandamano hayo yamezidi kuchochea hali mbaya na yanaonyesha hayana tija yoyote zaidi ya kuleta usumbufu kwa wananchi

Nchi inapita wakati mgumu wa kukosa
1. Sukari
2. Umeme
3. Maji
4. Dola
5. Mfumuko wa bei

Je, maandamano hayo ni usanii na dhihaka kwa wananchi?
Umeyataja yote yanayojera wananchi.
Ifuke siku Nchi nzima yatakuwepo maandamano kila kukicha kwa muda wa siku 7 mfululizo hadi kieleweke.
Huu ni ujinga wa kutosha maisha tunayoyaishi.
Mstaafu unayumbishwa hadi umauti!!.

Walioko ndani safari kila kukicha na kulipana posho.!
Mbona JPM hakuyakumbatia haya.
Mama wanakudanganya hujajua tuu!!
 
Waliotangulia wamekujibu kistaarabu sana ila mimi siwezi naona kama unazidiwa na AI
 
Wanajamvi kichwa cha habari chajieleza

CHADEMA walianza maandamano ya amani kuishinikiza serikali kupunguza makali ya maisha kwa wananchi tarehe 24.01.2024

Hali ya sasa inayoendelea nchini ni kama maandamano hayo yamezidi kuchochea hali mbaya na yanaonyesha hayana tija yoyote zaidi ya kuleta usumbufu kwa wananchi

Nchi inapita wakati mgumu wa kukosa
1. Sukari
2. Umeme
3. Maji
4. Dola
5. Mfumuko wa bei

Je, maandamano hayo ni usanii na dhihaka kwa wananchi?
Katika swali la kijinga linalothibitisha kuwa ujinga bado ni adui kinara wa Taifa ni hili!
Mwl. JK Nyerere aliona mbali sana!
Yaani maandamano yametangazwa badala tushiriki wote tusio na vyama na wenye vyama kufikisha ujumbe nyie bado mnakalia kuilalamikia Chadema na kumpongeza SSH kwa kuupiga mwingi!
Ni kweli nchi inapita wakati mgumu:
1. Sukari
2. Umeme
3. Maji
4. Dola
5. Mfumuko wa bei
6. Hadaa, ahadi hewa na dharau za viongozi
7. Matumizi makubwa na ya anasa ya serikali
8. Ajira hakuna..
9.
Nilitegemea akili pevu ingetujumuisha sote kwenye maandamano ili serikali isituzoee zoee!
Ila wajinga bado wanawasha TV kufuatilia komedi show za mawaziri na watendaji wa serikali huku wakiwalaumu waandamanaji!

#Mjenga nchi ni mwananchi!
#Na adui wa nchi pia ni mwananchi
 
1. Unaandika as if what is going on in Tanzania is none of your business. One would expect you to suggest the way forward if demonstrations do not attain the intended outcome.
2. After all, you should not expect to make change from three demonstrations.... it may take months, years to make, and even confrontations/deaths of some of our people and the like!
3 My observation seems you are a stout CHAWA
 
Wanajamvi kichwa cha habari chajieleza

CHADEMA walianza maandamano ya amani kuishinikiza serikali kupunguza makali ya maisha kwa wananchi tarehe 24.01.2024

Hali ya sasa inayoendelea nchini ni kama maandamano hayo yamezidi kuchochea hali mbaya na yanaonyesha hayana tija yoyote zaidi ya kuleta usumbufu kwa wananchi

Nchi inapita wakati mgumu wa kukosa
1. Sukari
2. Umeme
3. Maji
4. Dola
5. Mfumuko wa bei

Je, maandamano hayo ni usanii na dhihaka kwa wananchi?
Ruzuku inashughulikiwa.
 
Katika swali la kijinga linalothibitisha kuwa ujinga bado ni adui kinara wa Taifa ni hili!
Mwl. JK Nyerere aliona mbali sana!
Yaani maandamano yametangazwa badala tushiriki wote tusio na vyama na wenye vyama kufikisha ujumbe nyie bado mnakalia kuilalamikia Chadema na kumpongeza SSH kwa kuupiga mwingi!
Ni kweli nchi inapita wakati mgumu:
1. Sukari
2. Umeme
3. Maji
4. Dola
5. Mfumuko wa bei
6. Hadaa, ahadi hewa na dharau za viongozi
7. Matumizi makubwa na ya anasa ya serikali
8. Ajira hakuna..
9.
Nilitegemea akili pevu ingetujumuisha sote kwenye maandamano ili serikali isituzoee zoee!
Ila wajinga bado wanawasha TV kufuatilia komedi show za mawaziri na watendaji wa serikali huku wakiwalaumu waandamanaji!

#Mjenga nchi ni mwananchi!
#Na adui wa nchi pia ni mwananchi
Kwa hiyo chadema wana majibu ya matatizo yote hayo?
 
Back
Top Bottom