Godbless Lema kutikisa Power Breakfast

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,718
218,266
Screenshot_2024-03-10-23-22-34-1.png

Nabii wa Mungu , ambaye pia ndio mbunge ajaye wa Arusha Mjini , Godbless Lema atakuwepo Clouds FM kwenye kile kipindi chao kinachoitwa Power Breakfast .

Nabii Lema ambaye hakuna unabii wake ambao haukutimia anatarajiwa kuleta unabii mwingine ambao hautachukua muda mrefu kabla ya kutimia , ni vema usiwe mbali ili kujua yatakayojiri nchini mwako kutokana na maono ya kiroho

USIONDOKE JF .

Pia soma Mahojiano ya Godbless Lema na Clouds FM yamehairishwa
 
View attachment 2930735

Nabii wa Mungu , ambaye pia ndio mbunge ajaye wa Arusha Mjini ,dbless Lema atakuwepo Clouds FM kwenye kile kipindi chao kinachoitwa Power Breakfast .

Nabii Lema ambaye hakuna unabii wake ambao haukutimia anatarajiwa kuleta unabii mwingine ambao hautachukua muda mrefu kabla ya kutimia , ni vema usiwe mbali ili kujua yatakayojiri nchini mwako kutokana na maono ya kiroho

USIONDOKE JF .
LEMA BANA UMESHINDWA KABISA MAISHA MENGI NJE YA UBUNGE NDIO MAANA MUONEKANO WAKO UNA MSONGO WA MAWAZO SANA.KUBALI ULIKUWA NA IMESHAPITA. MOVE ON GUY. YAANI HUNA RAAHA KILA SIKU UBUNGE UBUNGE. EBU FIKIRI NA VINGINEE BASI BROO
 
Humjui Lema wewe
 
Lakini Lema ni mwanasiasa na mfanyabiashara. Ni akili gani unatumia kutaka kuona mwanasaisa anaepuka kuzungumzia siasa au kutoonekana kwenye platforms za siasa?
 
View attachment 2930735

Nabii wa Mungu , ambaye pia ndio mbunge ajaye wa Arusha Mjini , Godbless Lema atakuwepo Clouds FM kwenye kile kipindi chao kinachoitwa Power Breakfast .

Nabii Lema ambaye hakuna unabii wake ambao haukutimia anatarajiwa kuleta unabii mwingine ambao hautachukua muda mrefu kabla ya kutimia , ni vema usiwe mbali ili kujua yatakayojiri nchini mwako kutokana na maono ya kiroho

USIONDOKE JF .
Nabii au nibu

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Waandishi wa siku hizi wanapenda kusifiwa wanajua kuuliza maswali magumu, hasa wanapofanya interviews zao na wanasiasa, lakini hawapendi kupewa majibu magumu, ni waoga.

Mtu akianza kujibu vyema wamuache aongee mpaka amalize, wasimkatishe na kuingilia anapokuwa anatoa majibu yake, hiyo itamfanya aeleweke vizuri kwa wasikilizaji na kuleta maana ya kipindi.

Kama watangazaji wanafukuzia teuzi kwa kutumia gia ya kuwaita wapinzani studio, kisha kuwauliza maswali na kuwanyima nafasi ya kuyajibu kwa ufasaha ili waonekane na mtawala, wajue wazi wanaharibu thamani ya vipindi vyao, watanzania sio wajinga.
 
LEMA BANA UMESHINDWA KABISA MAISHA MENGI NJE YA UBUNGE NDIO MAANA MUONEKANO WAKO UNA MSONGO WA MAWAZO SANA.KUBALI ULIKUWA NA IMESHAPITA. MOVE ON GUY. YAANI HUNA RAAHA KILA SIKU UBUNGE UBUNGE. EBU FIKIRI NA VINGINEE BASI BROO
Hapo mkuu unawashwa wapi maana ni maisha yake
 
View attachment 2930735

Nabii wa Mungu , ambaye pia ndio mbunge ajaye wa Arusha Mjini , Godbless Lema atakuwepo Clouds FM kwenye kile kipindi chao kinachoitwa Power Breakfast .

Nabii Lema ambaye hakuna unabii wake ambao haukutimia anatarajiwa kuleta unabii mwingine ambao hautachukua muda mrefu kabla ya kutimia , ni vema usiwe mbali ili kujua yatakayojiri nchini mwako kutokana na maono ya kiroho

USIONDOKE JF .
Kwaiyo lema luksa lisu no chadema bhana
 
Acha kumpamba mwanaume mwenzako tena mvuta bangi
 
LEMA BANA UMESHINDWA KABISA MAISHA MENGI NJE YA UBUNGE NDIO MAANA MUONEKANO WAKO UNA MSONGO WA MAWAZO SANA.KUBALI ULIKUWA NA IMESHAPITA. MOVE ON GUY. YAANI HUNA RAAHA KILA SIKU UBUNGE UBUNGE. EBU FIKIRI NA VINGINEE BASI BROO
Kwanini asirudi Canada kwa mkewe au amewaachia wazungu
 
Naona wameshamsagia kunguni. Mtangazaji anasema hajui kama atakuwepo ama hatakuwepo.
imeenda hii.
Siku hizi zipo online media nyingi Lema anaweza kufanya interview na akasikika na watu wengi. Sioni umuhimu wa yeye kwenda kwenye redio ya CCM
 
LEMA BANA UMESHINDWA KABISA MAISHA MENGI NJE YA UBUNGE NDIO MAANA MUONEKANO WAKO UNA MSONGO WA MAWAZO SANA.KUBALI ULIKUWA NA IMESHAPITA. MOVE ON GUY. YAANI HUNA RAAHA KILA SIKU UBUNGE UBUNGE. EBU FIKIRI NA VINGINEE BASI BROO
Lema alikuwa tajiri kabla ya kuwa mbunge na nikuambie tu kuwa huna lolote ulijualo kuhusu Lema
 
View attachment 2930735

Nabii wa Mungu , ambaye pia ndio mbunge ajaye wa Arusha Mjini , Godbless Lema atakuwepo Clouds FM kwenye kile kipindi chao kinachoitwa Power Breakfast .

Nabii Lema ambaye hakuna unabii wake ambao haukutimia anatarajiwa kuleta unabii mwingine ambao hautachukua muda mrefu kabla ya kutimia , ni vema usiwe mbali ili kujua yatakayojiri nchini mwako kutokana na maono ya kiroho

USIONDOKE JF .
Nabii mwizi wa magari

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2930735

Nabii wa Mungu , ambaye pia ndio mbunge ajaye wa Arusha Mjini , Godbless Lema atakuwepo Clouds FM kwenye kile kipindi chao kinachoitwa Power Breakfast .

Nabii Lema ambaye hakuna unabii wake ambao haukutimia anatarajiwa kuleta unabii mwingine ambao hautachukua muda mrefu kabla ya kutimia , ni vema usiwe mbali ili kujua yatakayojiri nchini mwako kutokana na maono ya kiroho

USIONDOKE JF .
Clouds wanajishusha sana ,wanaruhusije kutoa nafasi kwa kiumbe ambae mdomo wake hauna break?
 
Lema alikuwa tajiri kabla ya kuwa mbunge na nikuambie tu kuwa huna lolote ulijualo kuhusu Lema
Kwa hiyo akawa mmbunge ndio akafilisika?hivi kelele zote anazopiga za kutaka kurudi kuwa mmbunge ni ili aendelee kufilisika ?
 
Back
Top Bottom