Vijana wengi kupata elimu kumechangia uhaba wa ajira

Mlimani health center

JF-Expert Member
Nov 25, 2021
595
1,416
Suala la ukosefu wa ajira Tanzania ni matokeo ya kazi nzuri iliyofanywa na chama cha mapinduzi ya kuboresha elimu ili vijana wengi wapate elimu” FAKII LULANDALA – KATIBU MKUU UVCCM TAIFA.

Kuhusu malalamiko ya vijana kuwa mikopo inayotolewa na halmashauri kwa ajili ya vijana inatolewa kwa upendeleo, Lulandala amesema ni kweli kwamba wanaonufaika na mikopo hiyo ni vijana wa CCM kwa sababu wao ndio wengi na wanajielewa kuliko vijana wa vyama vingine.

View attachment 2930632
 
Back
Top Bottom