Kwanini Zitto Kabwe anakwepa kuwagusa vigogo waliotajwa ripoti ya CAG

Stuka

JF-Expert Member
Jul 19, 2022
214
686
Zitto Kabwe kwanini anakwepa kuchambua uzembe, ubadhirifu na upigaji mkubwa uliofanywa kwenye Wizara ya Nishati, Wizara ya Mawasiliano, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Maji.

Ripoti ya CAG imeibua madudu mengi na ya kutisha kwenye wizara hizo lakini jambo la kushangaza Zitto ameshindwa kuchambua ripoti hiyo na kukimbilia kwenye mambo madogo madogo.

Au ndio zile tetesi za udini?
 
Nishati kuna upotevu wa kiasi gani??
 
Unamlipa kuichambua hiyo ripoti??

Hawezi kukosoa Serikali ya dini moja
 
Ripoti ya CAG imeibua madudu mengi na ya kutisha kwenye wizara hizo lakini jambo la kushangaza Zitto ameshindwa kuchambua ripoti hiyo na kukimbilia kwenye mambo madogo madogo.
Huyu waliingizana choo cha kike na mwenzake Niguse Ninuke😆😂🤣
 
Zitto Kabwe kwanini anakwepa kuchambua uzembe, ubadhirifu na upigaji mkubwa uliofanywa kwenye Wizara ya Nishati, Wizara ya Mawasiliano, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Maji.

Ripoti ya CAG imeibua madudu mengi na ya kutisha kwenye wizara hizo lakini jambo la kushangaza Zitto ameshindwa kuchambua ripoti hiyo na kukimbilia kwenye mambo madogo madogo.

Au ndio zile tetesi za udini?
Ni unafiki
 
dalali hawezi fungua domo lake kamwe.
 
Back
Top Bottom