Wapo Mzee Dovutwa, Mzee Cheyo na Prof Lipumba Uongozini tangu 1990s, kwanini Mumshupalie Mbowe wa 2005? Kwani Komredi Kinana wa lini?

Mwaka 2015,Kwenye Kampeni kati ya Makongoro na Wasiria nilicheka sana makongoro alivyokuwa akimpiga Spana wasira kuwa Yupo kwenye Uongozi Toka 1960 na wenzake wote hawapo ila yeye Yupo
View attachment 2931107
😁😁 Makongoro ni chizi ata mimi nilicheka sana jamaa ni comedian vibaya mno
Wasira mpambanaji,anapambana mpaka dakika ya mwisho anaingia kaburini😂

Ata 2025 usishangae ukamuona ulingoni😂😂😂
 
Mwamba wenye dhahabu,siku zote hutaka kubomolewa hata Kwa kutumia Bomu sio Tena Baruti🤣🤣🤣.
Jamaa anawakosesha usingizi pande zile za GIZA TOTORO.
Hao woote ni maskini na ndo maana wanaendeshwa hawana namna.

Mnakumbuka kikao walichokaa wanaojiita Umoja wa vyama na kuazimia Mh Lisu kusimamisha kupiga kampeni siku 7.
Vyama vile villna wanachama wangapi🤔.
Nchi hii bila kujizima data kwenye siasa utangoja Sana.

Std7,ndo anampangia,Engineer,Mhandisi,Professor,Doctor,Nini afanye wakati hana tasluma hiyo,ila mwenye tasluma anahenyeshwa mbaya😜.
Usomi Tz unafikilisha Sana.
Akili kubwa,kuongoza na akili kisoda.
 
Mti wenye Matunda ndio hutupiwa mawe

Walioalikwa ni wengi lakini wateule wachache

Wewe ndiwe Petro na Juu ya Mwamba huu nitalijenga Kanisa langu

Ramadan Kareem 😄🔥
unaendelea kuchochea moto sio 🐒

hao wengine wanaobserve table manners, kwamba ukiwa unakula hutakiwi kuongea 🐒

sasa kidomodomo mlamba asali ikiisha tu mdomoni kubwekabweka kunaanza 🐒
 
Back
Top Bottom