Waziri Bashe: Msimu wa 22/23 tulizalisha mahindi tani million 8.1 na mahitaji yetu ni tani million 6, Wizara itaanza kutoa Export Permit Bure!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,033
Waziri wa Kilimo mh Bashe amesema kwa msimu wa 2022/23 uzalishaji wa mahindi ulikuwa Tani million 8.1 na mahitaji ya ndani hayazidi Tani million 6

Business partners wetu kwa mahindi ni Kenya, Congo na Rwanda hivyo Wizara itatoa Bure Export Permit kwa Mfumo wa ATMIS hivyo ombeni mpeleke nchi zilizotajwa, amesema Bashe katika ukurasa wake wa X

Baada ya kutoka Vatican huyu ndiye ajaye 2030

Ramadan Kareem
 
Waacheni wakulima wauze mahindi yao wanakotaka bila kufunga mipaka na kufungua....njaa kila mtu ajipigie mahesabu yake....
 
Waziri wa Kilimo mh Bashe amesema kwa msimu wa 2022/23 uzalishaji wa mahindi ulikuwa Tani million 8.1 na mahitaji ya ndani hayazidi Tani million 6

Business partners wetu kwa mahindi ni Kenya, Congo na Rwanda hivyo Wizara itatoa Bure Export Permit kwa Mfumo wa ATMIS hivyo ombeni mpeleke nchi zilizotajwa, amesema Bashe katika ukurasa wake wa X

Baada ya kutoka Vatican huyu ndiye ajaye 2030

Ramadan Kareem
Waziri anaongelea vibali ile hali mkulima ashapigika kuuza mahindi kwa hasara ili arudi shamba,nchi hii kilimo kinakua kama laana wananufaika wachuuzi kwanini hizo permit hazikutolewa kipindi cha mavuno ifike wakati serikali iache soko liamue ili wakulima wanufaike
 
Bado hujachelewa Bwashee
 
Back
Top Bottom