Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 4,318
- 10,022
Nitaandika Kwa kifupi Tu.
Hiv Karibun Rais wa Kenya William Somoe Ruto na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museven wameonekana kuwa Chanda na Pete.
Kwa history ya nchi zao kuna kila dalili wameona huu ndio wakat wanaweza kuiingia Tanzania kuliko wakati mwingine wowote.
Ikumbukwe awali Rais wa Rwanda alijiweka weka karibu na Rais Samia Ila Kwa sasa Ruto na Museven wanakuja Kwa Kasi.

Nashauri utangamano wowote ndani ya EAC ichukuliwe Kwa Makin Sana maana hulenga kuidhoofisha TZ