Bado shule za kata hazitoshi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,579
44,826
At least Kwa shule za msingi tumejitahidi kidogo walahu kila kijiji kuna shule ila Kwa upande wa sekondari bado kuna changamoto kubwa naona wanafunzi wakitembea umbali mrefu kuzifuata shule ni heri serikali ikaja na mpango wa kujenga hostel Kwa shule za kata ambazo vijiji vyake viko mbali.
 
Toa mifani hai.....ili wapunguze usiseme general assumption .....
 
At least Kwa shule za msingi tumejitahidi kidogo walahu kila kijiji kuna shule ila Kwa upande wa sekondari bado kuna changamoto kubwa naona wanafunzi wakitembea umbali mrefu kuzifuata shule ni heri serikali ikaja na mpango wa kujenga hostel Kwa shule za kata ambazo vijiji vyake viko mbali.
Kuongeza ujenzi wa Shule za Kata ni kuongeza Idadi kubwa ya WAJINGA
 
Back
Top Bottom