Peter Msigwa umeletewa Kheri James, tafuta Jimbo lingine huo ni mkakati maalumu

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,769
Kwa vijana wa sasa mnamjua Kheri James kwamba hanaga mbambamba.

Kokote atakako elekeza mpira ndio litahesabika goli hata kama ni mashariki mwa uwanja sehemu isiyo na milingoti ya magoli yenyewe. Na litakuwa sio goal popote atakapoelekeza Peter Msigwa hata kama ni golini na nyavu zikachanika au kipa kuvunjika mikono.

Halitakuwa goal kabisaaa. Na atapewa Kadi nyekundu kwa kubutua ovyo, ndugu yangu peter jaribu kuangalia jimbo la kilolo labda unaweza kubahatisha. Kheri James afe kipa afe beki.
 
Alishapelekwa Dr Kleruu hakufanya lolote la maana zaidi ya kukatisha maisha yake.
 
Kwa vijana wa sasa mnamjua Kheri James kwamba hanaga mbambamba.

Kokote atakako elekeza mpira ndio litahesabika goli hata kama ni mashariki mwa uwanja sehemu isiyo na milingoti ya magoli yenyewe. Na litakuwa sio goal popote atakapoelekeza Peter Msigwa hata kama ni golini na nyavu zikachanika au kipa kuvunjika mikono.

Halitakuwa goal kabisaaa. Na atapewa Kadi nyekundu kwa kubutua ovyo, ndugu yangu peter jaribu kuangalia jimbo la kilolo labda unaweza kubahatisha. Kheri James afe kipa afe beki.
Hoja yako haina afya kwa mstakabali ya ukuaji wa demokrasia Tanzania. Tanzani ni kubwa kuliko Khery James na Msigwa. Kikubwa na jambo la kheri ni demokrasia iachwe ichukuwe mkondo wake!
 
Kwa vijana wa sasa mnamjua Kheri James kwamba hanaga mbambamba.

Kokote atakako elekeza mpira ndio litahesabika goli hata kama ni mashariki mwa uwanja sehemu isiyo na milingoti ya magoli yenyewe. Na litakuwa sio goal popote atakapoelekeza Peter Msigwa hata kama ni golini na nyavu zikachanika au kipa kuvunjika mikono.

Halitakuwa goal kabisaaa. Na atapewa Kadi nyekundu kwa kubutua ovyo, ndugu yangu peter jaribu kuangalia jimbo la kilolo labda unaweza kubahatisha. Kheri James afe kipa afe beki.
Acha kukariri, huyo Kheri hatoboi huku, labda wampeleke Dodoma huko
 
Kwa vijana wa sasa mnamjua Kheri James kwamba hanaga mbambamba.

Kokote atakako elekeza mpira ndio litahesabika goli hata kama ni mashariki mwa uwanja sehemu isiyo na milingoti ya magoli yenyewe. Na litakuwa sio goal popote atakapoelekeza Peter Msigwa hata kama ni golini na nyavu zikachanika au kipa kuvunjika mikono.

Halitakuwa goal kabisaaa. Na atapewa Kadi nyekundu kwa kubutua ovyo, ndugu yangu peter jaribu kuangalia jimbo la kilolo labda unaweza kubahatisha. Kheri James afe kipa afe beki.
Muulize Jo,atakuambia,kama mwanakulitafuta mwana kulipata😁
 
Kwa vijana wa sasa mnamjua Kheri James kwamba hanaga mbambamba.

Kokote atakako elekeza mpira ndio litahesabika goli hata kama ni mashariki mwa uwanja sehemu isiyo na milingoti ya magoli yenyewe. Na litakuwa sio goal popote atakapoelekeza Peter Msigwa hata kama ni golini na nyavu zikachanika au kipa kuvunjika mikono.

Halitakuwa goal kabisaaa. Na atapewa Kadi nyekundu kwa kubutua ovyo, ndugu yangu peter jaribu kuangalia jimbo la kilolo labda unaweza kubahatisha. Kheri James afe kipa afe beki.
Wewe akili zako ziko makalioni kwenye virutubisho
 
Back
Top Bottom