Miaka mitatu ya Rais Samia, kila kitu kimepanda bei

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
949
2,865
Serikali yote ni ya CCM, walisema wapinzani wanawachelewesha lakini tunajionea wenyewe miaka mitatu ya Rais Samia vitu vyote vimepanda bei mara mbili toka utawala wa Hayati Rais Magufuli, petroli imepanda bei, sukari imepanda bei, unga umepanda bei, Mchele umepanda bei, maharage yamepanda bei, nyama imepanda bei n.k

Tatizo ni nini!?
Magufuli angekuwepo mambo yangekuwa kama alivyotaka yaani bila wapinzani Maendeleo tungeyaona, ila amefariki na project yake hakuna wa kuiendeleza, aliyekuja Mama Samia yeye anaamini uwepo wa Wapinzani wampigie kelele ndio afanye lakini pia yeye ni Mama wakitaka kumpigia kelele anawapa tabasamu na asali wanakaa kimya, hili ndio tatizo letu, tumekwama.
 
Serikali yote ni ya CCM,walisema wapinzani wanawachelewesha lakini tunajionea wenyewe miaka mitatu ya Rais Samia vitu vyote vimepanda bei mara mbili toka utawala wa Hayati Rais Magufuli,petroli imepanda bei,sukari imepanda bei,unga umepanda bei,Mchele umepanda bei, maharage yamepanda bei,nyama imepanda bei,n.k

-Tatizo ni nini!?
Magufuli angekuwepo mambo yangekuwa kama alivyotaka yaani bila wapinzani Maendeleo tungeyaona,ila amefariki na project yake hakuna wa kuiendeleza,aliyekuja Mama Samia yeye anaamini uwepo wa Wapinzani wampigie kelele ndio afanye lakini pia yeye ni Mama wakitaka kumpigia kelele anawapa tabasamu wanakaa kimya,hili ndio tatizo letu,tumekwama.
Pole sana mkuu, kwani unateseka ukiwa wapi? Tatizo lako ni usukuma gang. Kafanye kazi uache kuteseka
 
Serikali yote ni ya CCM,walisema wapinzani wanawachelewesha lakini tunajionea wenyewe miaka mitatu ya Rais Samia vitu vyote vimepanda bei mara mbili toka utawala wa Hayati Rais Magufuli,petroli imepanda bei,sukari imepanda bei,unga umepanda bei,Mchele umepanda bei, maharage yamepanda bei,nyama imepanda bei,n.k

-Tatizo ni nini!?
Magufuli angekuwepo mambo yangekuwa kama alivyotaka yaani bila wapinzani Maendeleo tungeyaona,ila amefariki na project yake hakuna wa kuiendeleza,aliyekuja Mama Samia yeye anaamini uwepo wa Wapinzani wampigie kelele ndio afanye lakini pia yeye ni Mama wakitaka kumpigia kelele anawapa tabasamu wanakaa kimya,hili ndio tatizo letu,tumekwama.

View: https://youtu.be/oJ9iSL0Xuns?si=NaRbWhJjHjKmzgJA
 
Tuendelee kusifu,hii ni awamu ya sifa "Mama piga mingi thana, iko juu mawinguni, wapinzani hawakuwethi"
 
Serikali yote ni ya CCM,walisema wapinzani wanawachelewesha lakini tunajionea wenyewe miaka mitatu ya Rais Samia vitu vyote vimepanda bei mara mbili toka utawala wa Hayati Rais Magufuli,petroli imepanda bei,sukari imepanda bei,unga umepanda bei,Mchele umepanda bei, maharage yamepanda bei,nyama imepanda bei,n.k

-Tatizo ni nini!?
Magufuli angekuwepo mambo yangekuwa kama alivyotaka yaani bila wapinzani Maendeleo tungeyaona,ila amefariki na project yake hakuna wa kuiendeleza,aliyekuja Mama Samia yeye anaamini uwepo wa Wapinzani wampigie kelele ndio afanye lakini pia yeye ni Mama wakitaka kumpigia kelele anawapa tabasamu wanakaa kimya,hili ndio tatizo letu,tumekwama.
Hilo Bunge La Hayati Magufuli umelisikia likijadili hata Wizi uliotajwa na CAG??

Je Dr Tulia Ackson aliyeaminiwa na Jpm mbona hafanani na Jpm kwenye utendaji?

Nina wasi wasi alikuwa anateuliwa watu sio yeye.

Wabunge karibu wote ni wa kiwango cha chini ktk utendaji na hata kujenga hoja.
 
Afu Kuna kimidia Cha kichoko kama Clouds FM asee hawa jamaa ni chawa pro... Ningepata Bomu walah ningeenda kulipya hizo studio za kiqumer.
 
Nitarudia hii hata niwekewe bunduki kichwani msimamo wangu nimmoja!!

Hatutakiwi kuwa na "head of state" mwanamke HATA awe na akili vipi!!
Mwanamke aliumbwa kuwa msaidizi na sikuwa MTAWALA juu kabisa.

Waongoze vitaasisi LAKINI sio nchi kabisa. Sasa midume mizima inashangilia kutawaliwa na mwanamke na kumsifu kabisa!!

Wanaume wavivu Wanaoipenda kulelewa ndiyo watachagua kutawaliwa na mwanamke!

Nchi hii rais anatawala sio anaongoza ndiyo maana rais ndiyo huamua afanye Nini, amtoe nani nakumweka nani, aruhusu katiba au lah,alitaka ufe Leo anakuua,alitaka bandari apewe mwarabu au mhindi niyeye na majingaa yoote yatatakiwa kushangilia
 
Serikali yote ni ya CCM, walisema wapinzani wanawachelewesha lakini tunajionea wenyewe miaka mitatu ya Rais Samia vitu vyote vimepanda bei mara mbili toka utawala wa Hayati Rais Magufuli, petroli imepanda bei, sukari imepanda bei, unga umepanda bei, Mchele umepanda bei, maharage yamepanda bei, nyama imepanda bei n.k

Tatizo ni nini!?
Magufuli angekuwepo mambo yangekuwa kama alivyotaka yaani bila wapinzani Maendeleo tungeyaona, ila amefariki na project yake hakuna wa kuiendeleza, aliyekuja Mama Samia yeye anaamini uwepo wa Wapinzani wampigie kelele ndio afanye lakini pia yeye ni Mama wakitaka kumpigia kelele anawapa tabasamu na asali wanakaa kimya, hili ndio tatizo letu, tumekwama.
Sababu ni “vita vya urusi na ukraine”🤣
 
Afu Kuna kimidia Cha kichoko kama Clouds FM asee hawa jamaa ni chawa pro... Ningepata Bomu walah ningeenda kulipya hizo studio za kiqumer.
Wale media yao ineshuka sana hata mishahara ya kulipa wafanya kazi ni mbinde.....so inabdi wawe hivyo
 
Serikali yote ni ya CCM, walisema wapinzani wanawachelewesha lakini tunajionea wenyewe miaka mitatu ya Rais Samia vitu vyote vimepanda bei mara mbili toka utawala wa Hayati Rais Magufuli, petroli imepanda bei, sukari imepanda bei, unga umepanda bei, Mchele umepanda bei, maharage yamepanda bei, nyama imepanda bei n.k

Tatizo ni nini!?
Magufuli angekuwepo mambo yangekuwa kama alivyotaka yaani bila wapinzani Maendeleo tungeyaona, ila amefariki na project yake hakuna wa kuiendeleza, aliyekuja Mama Samia yeye anaamini uwepo wa Wapinzani wampigie kelele ndio afanye lakini pia yeye ni Mama wakitaka kumpigia kelele anawapa tabasamu na asali wanakaa kimya, hili ndio tatizo letu, tumekwama.
Kumezaliwa wadudu hatari sana wa nguoni!
 
Back
Top Bottom