Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,663
- 46,352
Marekani inatoa msaada wa chakula wa zaidi ya dola bilioni 1 kwa mwaka kwa nchi za Horn of Africa (Djibouti, Eritrea, Ethiopia na Somalia)
Sudan,
Marekani inatoa msaada wa chakula kwa watu milioni 10 wa Sudan na ndiye mtoaji misaada mkubwa zaidi wa taifa hilo kwa miaka 25.
Kenya
Mwaka jana Kenya imepewa msaada wa Chakula wa dola million 126
Marekani pia ndio mfadhili mkubwa wa Shirika la Chakula duniani(WFP), kwa mwaka serikali peke yake ya Marekani inaweka hadi dola bilioni 7 katika shirika hilo, hapo bado hatujazungumzia matajiri na Makampuni binafsi ya Marekani.
Hapa ni Africa tu bado hatujaongelea kwingine duniani. Msaada wa mchele kidogo tu usitufanye masikini jeuri wa kupiga kelele hivyo na kusababisha watoto kushinda njaa shuleni.