Vijana wa Kitanzania msipoacha woga hamtaendelea

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,609
8,753
Yaani katika kitu ambacho nawashauri vijana ni kutokuwa na utamaduni wa woga ambao umekuwa utamaduni wa Watanzania wengi.

Ukiangalia vizuri kibinafsi na hata vyama vyovyote. Ukubwa wa vyama na hata maendeleo ya sehemu hayatikani tu na mali ya asili bali ni tabia za woga. Watanzania tuna tabia za woga sana. Tunaogopana mpaka wenyewe yaani ukiwa tofauti tu watu wanakuogopa! Hata diaspora hawapewi haki kwasababu ya woga, hatuna katiba nzuri kwa maendeleo yetu sote kwasababu ya woga.

Ukiangalia sehemu zenye maendeleo hata nchi kama US sio waoga wako tayari kufa ndiyo maana watu wanawaogopa. Kasikazini hawaogopi wapinzani angalieni maendeleo kule! Hata kwenye biashara hutafanikiwa kama ni mwoga. Vyama jasiri ndiyo vikubwa sehemu yeyote

Kuna vyama vingi vimekufa kwasababu ya woga. Demokrasia hatuipati kwasababu ya woga wa watawala na watawaliwa😂

Sasa vijana msiko acha huu utamaduni maendeleo kwenu itakuwa ndoto
 
naunga mkono hoja
P
 
Kuna vyama vingi vimekufa kwasababu ya woga. Demokrasia hatuipati kwasababu ya woga wa watawala na watawaliwa

Sasa vijana msiko acha huu utamaduni maendeleo kwenu itakuwa ndoto
Kuna clip ya ndugu Katibu mkuu wa CDM Mh. J.J. Mnyika akirlezea alikoanziq siasa akiwa mdogo na Sasa yuko hapo alipo.
Anasema.
Nanukuu " Vijana msiwe na woga na kama unajiona unayo Nia na malengo ya kuwa kile unalenga wekea mkazo! Haijalishi una uwezo wa kifedha kwani Nia yako walioko nyuma yako watakupea support"

Vijana amkeni acheni mambo za kijiweni.
 
Yaani katika kitu ambacho nawashauri vijana ni kutokuwa na utamaduni wa woga ambao umekuwa utamaduni wa Watanzania wengi.

Ukiangalia vizuri kibinafsi na hata vyama vyovyote. Ukubwa wa vyama na hata maendeleo ya sehemu hayatikani tu na mali ya asili bali ni tabia za woga. Watanzania tuna tabia za woga sana. Tunaogopana mpaka wenyewe yaani ukiwa tofauti tu watu wanakuogopa! Hata diaspora hawapewi haki kwasababu ya woga, hatuna katiba nzuri kwa maendeleo yetu sote kwasababu ya woga.

Ukiangalia sehemu zenye maendeleo hata nchi kama US sio waoga wako tayari kufa ndiyo maana watu wanawaogopa. Kasikazini hawaogopi wapinzani angalieni maendeleo kule! Hata kwenye biashara hutafanikiwa kama ni mwoga. Vyama jasiri ndiyo vikubwa sehemu yeyote

Kuna vyama vingi vimekufa kwasababu ya woga. Demokrasia hatuipati kwasababu ya woga wa watawala na watawaliwa

Sasa vijana msiko acha huu utamaduni maendeleo kwenu itakuwa ndoto
VIJANA WAMEKUWA WAJINGA NA WAPUMBAVU ETI UCHAWA WAMEONA NJIO NJIA SAHIHI YA KUJIKWAMUA KIMAISHA
 
Yaani katika kitu ambacho nawashauri vijana ni kutokuwa na utamaduni wa woga ambao umekuwa utamaduni wa Watanzania wengi.

Ukiangalia vizuri kibinafsi na hata vyama vyovyote. Ukubwa wa vyama na hata maendeleo ya sehemu hayatikani tu na mali ya asili bali ni tabia za woga. Watanzania tuna tabia za woga sana. Tunaogopana mpaka wenyewe yaani ukiwa tofauti tu watu wanakuogopa! Hata diaspora hawapewi haki kwasababu ya woga, hatuna katiba nzuri kwa maendeleo yetu sote kwasababu ya woga.

Ukiangalia sehemu zenye maendeleo hata nchi kama US sio waoga wako tayari kufa ndiyo maana watu wanawaogopa. Kasikazini hawaogopi wapinzani angalieni maendeleo kule! Hata kwenye biashara hutafanikiwa kama ni mwoga. Vyama jasiri ndiyo vikubwa sehemu yeyote

Kuna vyama vingi vimekufa kwasababu ya woga. Demokrasia hatuipati kwasababu ya woga wa watawala na watawaliwa😂

Sasa vijana msiko acha huu utamaduni maendeleo kwenu itakuwa ndoto
Nikajua woga kwenye utafutaji kumbe woga kwenye siasa yaani uhagaike kuandamana na kumpigia mtu kampeni harafu mwisho wa siku anaenda kujenga hekalu ule muda uloupoteza utaufiadiaje?
 
Itisha maandamano, kila anayeandamana atalipwa laki tano tuuone woga wa vijana. Watu wanakufa na mapikipiki kila siku na hawaachi sidhani kama ni woga, inawezekana ni choice.
 
Yaani katika kitu ambacho nawashauri vijana ni kutokuwa na utamaduni wa woga ambao umekuwa utamaduni wa Watanzania wengi.

Ukiangalia vizuri kibinafsi na hata vyama vyovyote. Ukubwa wa vyama na hata maendeleo ya sehemu hayatikani tu na mali ya asili bali ni tabia za woga. Watanzania tuna tabia za woga sana. Tunaogopana mpaka wenyewe yaani ukiwa tofauti tu watu wanakuogopa! Hata diaspora hawapewi haki kwasababu ya woga, hatuna katiba nzuri kwa maendeleo yetu sote kwasababu ya woga.

Ukiangalia sehemu zenye maendeleo hata nchi kama US sio waoga wako tayari kufa ndiyo maana watu wanawaogopa. Kasikazini hawaogopi wapinzani angalieni maendeleo kule! Hata kwenye biashara hutafanikiwa kama ni mwoga. Vyama jasiri ndiyo vikubwa sehemu yeyote

Kuna vyama vingi vimekufa kwasababu ya woga. Demokrasia hatuipati kwasababu ya woga wa watawala na watawaliwa😂

Sasa vijana msiko acha huu utamaduni maendeleo kwenu itakuwa ndoto
ni kweli,
ujasiri wa vijana na wanazuoni wengi upo nyuma ya key board kama hivi yaani dah 🐒

kumbuka uoga wako ndio umaskini wako, kaa rada kaa chonjo 🐒
 
Kawaulize wale masai wa ngorongoro ambao si waoga wanaishi na simba na wanaua simba, waulize tu nini kiliwakuta wakajikuta Tanga?

Nje huko uongozi wa kisheria una wabeba sana.

Woga tunao uongelea sio ujasiri wa kulala nje kama wanyama😂 ni ujasiri wa kudai haki zako, kuandamana, kudai katiba, kuhoji viongozi na sio kusubiria wapinzani kukuombea haki zetu kwa faida yenu.

Msiko kuwa makini mtatawaliwa na familia tu kama Uganda na Rwanda. Leo tunamjengea kikwete Ikulu binafsi, kesho Mwinyi kesho kutwa mtoto wa mwinyi mtendego mtoto wa Kikwete . Kuweni makini sana
 
Yaani katika kitu ambacho nawashauri vijana ni kutokuwa na utamaduni wa woga ambao umekuwa utamaduni wa Watanzania wengi.

Ukiangalia vizuri kibinafsi na hata vyama vyovyote. Ukubwa wa vyama na hata maendeleo ya sehemu hayatikani tu na mali ya asili bali ni tabia za woga. Watanzania tuna tabia za woga sana. Tunaogopana mpaka wenyewe yaani ukiwa tofauti tu watu wanakuogopa! Hata diaspora hawapewi haki kwasababu ya woga, hatuna katiba nzuri kwa maendeleo yetu sote kwasababu ya woga.

Ukiangalia sehemu zenye maendeleo hata nchi kama US sio waoga wako tayari kufa ndiyo maana watu wanawaogopa. Kasikazini hawaogopi wapinzani angalieni maendeleo kule! Hata kwenye biashara hutafanikiwa kama ni mwoga. Vyama jasiri ndiyo vikubwa sehemu yeyote

Kuna vyama vingi vimekufa kwasababu ya woga. Demokrasia hatuipati kwasababu ya woga wa watawala na watawaliwa😂

Sasa vijana msiko acha huu utamaduni maendeleo kwenu itakuwa ndoto
Mimi nikajua mchongo wa pesa, kumbe ishu ya kuacha kazi za maana na kuanza kuwaandalia watu nafasi za kupiga pesa serikalini kwa kuandamana, baada ya maandamano urudi nyumbani na vilema na vidonda..???
 
Woga tunao uongelea sio ujasiri wa kulala nje kama wanyama😂 ni ujasiri wa kudai haki zako, kuandamana, kudai katiba, kuhoji viongozi na sio kusubiria wapinzani kukuombea haki zetu kwa faida yenu.

Msiko kuwa makini mtatawaliwa na familia tu kama Uganda na Rwanda. Leo tunamjengea kikwete Ikulu binafsi, kesho Mwinyi kesho kutwa mtoto wa mwinyi mtendego mtoto wa Kikwete . Kuweni makini sana
We unahisi watanzania wote m60+ tunaweza kuwa viongozi..???

Unahisi maandamano ndio suluhisho la upatikanaji wa haki ama katiba..???

wewe unahisi huo upande wa pili hawawezi kuongoza kifamilia ama kwa kujuana..???
 
Kwanini context ya uoga inapendwa kuongelewa kwenye mambo ya siasa sana?
Uoga ni udhaifu, kwa namna fulani ukimwambia mtu kuwa ni mdhaifu anaweza jawa na hasira akapata shauku ya kuonyesha kwamba yeye si dhaifu hivyo wanaamini inaweza chochea hali ya watu hasa vijana kupata jazba na kuanza kuandamana...

Siasa, ukiziendekeza hufanyi jambo la maana bali utakaa uangalie wanasiasa wakifanya ya maana (kutengeneza nafasi, nguvu na pesa) kwa kuandamana kwako kwa maslahi yao binafsi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom