Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,086
- 6,568
Ukweli ni kuwa Nyerere alikuwa na maono, aliweza kujua nani kiongozi ambaye atatumikia wanyonge kwa manufaa ya taifa. Na nani atakuwa mpigaji.
Wapigaji wanajulikana. Mfano Jakaya alipokuwa madarakani ilikuwa ni skendo za upigaji tu. kagoda, Richmond, Escrow na sasa Dp world ya Dubai.
Hayati Magufuli na Mkapa Je? Hata ulikuwepo sio kama Jakaya na wenzake.
Je kwa nini hayati Nyerere aliwajua wapigaji? Na kwa nini aliwajua wapiga kazi kama hayati Mkapa na hayati JPM?