Waandaaji wa Midahalo Tanzania chukueni ombi la Tanzania la Midahalo Chaguzi za AU ifanyike nchini kuboresha Chaguzi zetu!

Ni ushauri tu kwa Wanahabari nguli kama Pascal Mayalla na Aloyce Nyanda, nk, wakachukua ombi la Tanzania huko Umoja wa Africa kama ni fursa itakayoanzia hapa nyumbani.

Midahalo inasaidia sana kutambua Maono ya Wagombea ni sawa tu na SWOT analysis,

Sabato njema. πŸ˜„
Sintashangaa mgomvea kujitoa kuunga mkono jirani....unga mkono juhudi......
 
Ni ushauri tu kwa Wanahabari nguli kama Pascal Mayalla na Aloyce Nyanda, nk, wakachukua ombi la Tanzania huko Umoja wa Africa kama ni fursa itakayoanzia hapa nyumbani.

Midahalo inasaidia sana kutambua Maono ya Wagombea ni sawa tu na SWOT analysis,

Sabato njema. πŸ˜„
yaani kachadema, act, chauma, tlp au udp kafanye mdahalo na liccm πŸ’

masikhara hayo πŸ’
mfano apo unataka kutambulisha nini kwa umma πŸ’
 
Makamba amewahi kushiriki Mdahalo wa Maendeleo wakiwa na Zitto Kabwe na Tundu Antipas Lisu

Makamba amewahi kushiriki Mdahalo wa Wagombea Urais akiwa na Dr Kigwangalla na Dr Mwigullu
Issue siyo Makamba kushiriki, ninachokiwaza CCM watakubali mgombea wao akafanye mdahalo.

Me napenda midahalo ifanyike
 
Back
Top Bottom