johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,119
Ukweli ni Kwamba CCM ni chama Bora kabisa Tanzania na Barani Africa ila haiwezi kuwa na Maajabu yoyote kwa hawa " Wapiga kura wa Kisasa"
Wakati Kikwete anasema CCM ijivue gamba alimaanisha ijigeuze kuwa Chama Cha Vijana Kutoka Chama Cha Wazee kama kilivyo sasa, Uzee wa Fikra na Mitazamo
Wengi hawakumuelewa wakidhani anataka kuwatoa akina Mtemi Chenge
Tulipofika CCM inadhani ni Bora iwatumie Vijana Wasanii inaoamini Wana Ushawishi kwa Jamii na kwa kufanya hivyo inawaacha Vijana smart Waliosoma Vizuri ambao wanaendana na Mazingira ya sasa ya Siasa za Dunia
Nilifarijika sana Mpendwa wetu Rais Samia alivyowakana Chawa hadharani kwa sababu CCM inawahitaji zaidi Vijana smart upstairs
Jumaa Mubarak 😄🔥