Peter Msigwa Hastahili kuwepo CHADEMA

Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
5,044
2,568
Ndugu watanzania ,nimekuwa nafuatilia kwa muda siasa za hiki chama cha chadema kwa muda sasa.Itoshe kusema kuwa haka katasisi kanao baadhi ya wafuasi wanaojitambua walao kwa kiasi kidogo.

Mchungaji Msigwa ni mmoja ya wanachama wachache saana walioko chadema mwenye kuweza kuongea na kutoa maono yenye maana pamoja na ukweli ya kwamba ameiga baadhi ya tabia za wanachama,ambazo ni,
1:Kuongea kwa jazba na kufoka,
2: Kulalamika bila kutoa njia mmbadala
3:Kukurupuka na kuandika kwenye mitandao lugha za matusi
4:Kulaani wenzao wafe
Mnaweza kuongezea .
 
Ndugu watanzania ,nimekuwa nafuatilia kwa muda siasa za hiki chama cha chadema kwa muda sasa.Itoshe kusema kuwa haka katasisi kanao baadhi ya wafuasi wanaojitambua walao kwa kiasi kidogo .Mchungaji Msigwa ni mmoja ya wanachama wachache saana walioko chadema mwenye kuweza kuongea na kutoa maono yenye maana pamoja na ukweli ya kwamba ameiga baadhi ya tabia za wanachama,ambazo ni,
1:Kuongea kwa jazba na kufoka,
2: Kulalamika bila kutoa njia mmbadala
3:Kukurupuka na kuandika kwenye mitandao lugha za matusi
4:Kulaani wenzao wafe
Mnaweza kuongezea .
Wenzake wanaojitambua walishatoka huko kwenye hiyo saccos ya wachaga eg Silinde,Dk Mollel ,kina Halima nk.

Sasa yeye ngoja aendelee kupiga miayo huko
 
Na umri ndio unaenda hivyo ,nadhani anastahili kupatiwa washauri wazuri
Badala ya kuzeeka anakunja ndita na kuvimba mishipa bila faida Bora arudi ccm akazeekeee ubalozini huko walau falsafa zake zitumike kiasi.

Saizi ameshakuwa na ugonjwa wa akili baada ya kukata tamaa anatukana hovyo kama Lema 😆😆
 
Hauna hoja zaidi ya kulaumu wapinzani kwani nyie ccm hamuwatukani na kuwakejeli wenzenu
Sio hadi kuwaombea vifo wanaotofautiana nao.Rejea kauli za binamu yake Mzee Mbowe ambae hivi majuzi tu aliwaombea mabaya wamiliki wa radio clauds
 
Badala ya kuzeeka anakunja ndita na kuvimba mishipa bila faida Bora arudi ccm akazeekeee ubalozini huko walau falsafa zake zitumike kiasi.

Saizi ameshakuwa na ugonjwa wa akili baada ya kukata tamaa anatukana hovyo kama Lema 😆😆
Inasikitisha aisee🙆‍♂️🏃🏼‍♂️🏃🏼‍♂️
 
Ndugu watanzania ,nimekuwa nafuatilia kwa muda siasa za hiki chama cha chadema kwa muda sasa.Itoshe kusema kuwa haka katasisi kanao baadhi ya wafuasi wanaojitambua walao kwa kiasi kidogo.

Mchungaji Msigwa ni mmoja ya wanachama wachache saana walioko chadema mwenye kuweza kuongea na kutoa maono yenye maana pamoja na ukweli ya kwamba ameiga baadhi ya tabia za wanachama,ambazo ni,
1:Kuongea kwa jazba na kufoka,
2: Kulalamika bila kutoa njia mmbadala
3:Kukurupuka na kuandika kwenye mitandao lugha za matusi
4:Kulaani wenzao wafe
Mnaweza kuongezea .
Je,wewe unazo akili za kumzidi Mch.Msigwa?
 
Wenzake wanaojitambua walishatoka huko kwenye hiyo saccos ya wachaga eg Silinde,Dk Mollel ,kina Halima nk.

Sasa yeye ngoja aendelee kupiga miayo huko
Ukiona mtu anatoka CHADEMA kwenda CCM jua huyo siyo mwanasiasa bali alifuata fursa ya kuchaguliwa kuwa Kiongozi ili ajipatie ukwasi kupitia madaraka.Mwanachadema halali ni yule anayetambua matatizo yake,ya familia nyingine na maisha ya Watanzania kwa ujumla.Mtu mwenye akili huwezi sifia malaya kama Halima anayeuza utu wake ili aendelee kulamba pesa za serikali bure.
 
Unashangaa nini wewe,unauza mwili wako kwa Ndugai ili uwe mbunge halafu unakuja na ngojera za kipumbavu.
 
Ukiona mtu anatoka CHADEMA kwenda CCM jua huyo siyo mwanasiasa bali alifuata fursa ya kuchaguliwa kuwa Kiongozi ili ajipatie ukwasi kupitia madaraka.Mwanachadema halali ni yule anayetambua matatizo yake,ya familia nyingine na maisha ya Watanzania kwa ujumla.Mtu mwenye akili huwezi sifia malaya kama Halima anayeuza utu wake ili aendelee kulamba pesa za serikali bure.
Halima unaweza mfananisha na mwanaume gani pale chadema kwa uwezo wa kujenga hoja? kama yupo ,leo hii nitachukua kadi ya cdm
 
Back
Top Bottom