Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kinachoendelea kwa sasa ni siasa za kuzima kelele kupitia magezeti na mitandao. Nikiwa kama mtanzania, nashauri IKULU iunde SPECIAL FORCE kuchunguza malalamiko ya wananchi na uhalisia wa kitita...
0 Reactions
4 Replies
694 Views
Najua kwamba katika moja ya mambo ambayo SSH alitilia mkazo, ni ile migogoro yenye sura ya kitaifa, vijiji na hifadhi za taifa, vijiji na mapori, maeneo ya serikali na wananchi, na mengine kama...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
29th, 2023 Na Elinipa Lupembe. https://m.youtube.com/watch?v=zHGqSa5Ff-E Mgogoro wa muda mrefu wa mpaka baina ya Kijiji cha Buger na Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara, uliodumu zaidi ya miaka 15...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kila ukipita Singida unaona hali ni ileile miaka nenda rudi same applies to Manyara. Na hapa tunapita mjini hata maji ya kunywa shida, ukienda huko wilayani kisha vijijini hali ni mbaya zaidi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa vijana wa sasa mnamjua Kheri James kwamba hanaga mbambamba. Kokote atakako elekeza mpira ndio litahesabika goli hata kama ni mashariki mwa uwanja sehemu isiyo na milingoti ya magoli yenyewe...
0 Reactions
14 Replies
831 Views
Nitaanzia ziara yangu Chongoleani kwenye bomba la mafuta ghafi mkoani Tanga. Nitakwenda Mererani halafu. Nitapita daraja la mto Wami nitaingia Dar nitakwenda moja kwa moja na kupita barabara ya...
9 Reactions
34 Replies
1K Views
Viongozi wote nilipopitia post zao kwa miaka mitatu tangu atutoke Hayati Magufuli wamejikita kutuma picha zake na siyo hotuba zake. Hali hii ni tofauti na kumbukizi ya Nyerere na Mkapa ambapo...
0 Reactions
2 Replies
436 Views
''Natamani malaika ashuke azime mitandao ya kijamii, irudi baada ya mwaka 1 ikute hatua kubwa za kimaendeleo tulizopiga''. Ni kauli ya Rais Magufuli. Ameyasema hayo leo wakati wa uzinduzi wa...
32 Reactions
702 Replies
90K Views
Rais Magufuli amehoji hivi... Je, nikiondoka leo reli itajengwa? Je nikiondoka leo ndege zitanunuliwa? Je nikiondoka leo vituo hivi vya Afya vitajengwa? Mbona havikujengwa huko nyuma?Niondoke...
26 Reactions
439 Replies
48K Views
Tizama Video hapa chini👇 https://m.youtube.com/watch?v=qubJ4--yeg0&pp=ygVGdmlkZTogVGF6YW1hIG10b3RvIHdhIGhheWF0aSBtYWd1ZnVsaSBhZnVuZ3VrYSBoYXlhLCBhbXRhamEgcmFpcyBzYW1pYQ%3D%3D
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Kuna muda maswali mengi huibuka na kujiuliza awamu ya tano kuna usiri wa mikopo ulikuwepo ndani ya miaka mitano. Hayati Magufuli alikopa Trilioni 39 wote tunaona alinunua ndege, SGR, bwawa la...
1 Reactions
0 Replies
524 Views
Rais wetu wa Jamhuri tukufu ya Tanzania Hayati John pombe Magufuli, u hai. U hai kwasababu Watanzania haipiti siku bila kukutaja kwa mema na kazi yako nzuri. Rais wangu leo hii tarehe 17.03.2024...
4 Reactions
6 Replies
964 Views
MIAKA MITATU YA SAMIA NA UKWAPUAJI WA MATRILIONI YA PESA ZA WALIPA KODI. Na Mwandishi wetu 5 November 2023. 23:05 Botswana 🔹Nimekuwa nikisema mara nyingi Uongozi makini ni ule uongozi...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Marekani inatoa msaada wa chakula wa zaidi ya dola bilioni 1 kwa mwaka kwa nchi za Horn of Africa (Djibouti, Eritrea, Ethiopia na Somalia) Sudan, Marekani inatoa msaada wa chakula kwa watu...
0 Reactions
2 Replies
339 Views
Hakuna hata waziri mmoja aliyepeleka ripoti ya utendaji kazi mpk sasa. Yupo waziri fulani yeye aliamua kumtemea mbovu Makonda kwa kusema kuwa "kuna watu 4 tu wanaoweza kumuamrisha nchi hii"...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Serikali yote ni ya CCM, walisema wapinzani wanawachelewesha lakini tunajionea wenyewe miaka mitatu ya Rais Samia vitu vyote vimepanda bei mara mbili toka utawala wa Hayati Rais Magufuli, petroli...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Kuna mjadala wa kuletewa msaada wa mchele na nchi ya Marekani na walengwa ni vijana wetu walioko mashuleni. Kwa bahati mbaya kizazi hiki hakina uwezo wa kuhoji na wazazi wao wamekuwa machawa...
9 Reactions
52 Replies
2K Views
Waziri aliyepokea msaada wa chakula hicho naona ajiuzuru Tanzania hatuna shida ya chakula hasa mchele na alizeti ambavyo vimetoka Marekani. NI aibu sana kwa taifa kuomba msaada wa chakula huku...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
NILIAMINI NIKO SAHIHI, LEO MAMA UMETUSHINDIA Na Yericko Nyerere Hureeeeee vita vyetu kwa maslahi ya Taifa tumeshinda! Asante Rais Mama Samia suluhu Hassan, nilimpinga Magufuli alipositisha mradi...
28 Reactions
196 Replies
16K Views
[emoji841]Magufuli kwa miaka 5 aliyokaa madarakani alikopa trillion 37 akajengea SGR, bwawa la Nyerere, akanunua ndege, Kijazi interchange ubungo na 6 way mpaka Mbezi mwisho. Magufuli hata kama...
21 Reactions
100 Replies
5K Views
Back
Top Bottom