Kama CHADEMA imechukua miaka zaidi ya 30 kujenga ofisi ya makao makuu, SGR au bwawa la Mwalimu Nyerere ingewachukua miaka 300 au 500

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,003
20,680
Tangu CHADEMA ianze kupokea ruzuku, imepata zaidi ya bilioni 300, lakini imewachukua miaka 30 kupata jengo la ofisi la ghorofa moja.

Je, wakikabidhiwa nchi, wataweza kujenga miradi mikubwa mikubwa ndani ya muda mfupi?
 
Pamoja na kukusanya kadi, kukopa as much as you want, kupokea mirahaba ya madini kwa mabilioni, kupata grants toka kwa mabeberu, kuchota hela kwenye mifuko ya wafanyakazi kama NSSF na mengine mengi mmechukua miaka 60+ kujenga hiyo SGR na unawataka wasio na vyanzo wajenge ndani ya mwaka mmoja

We bure kabisa
 
Tangu chadema ianze kupokea ruzuku, imepata zaidi ya bilioni 300, lakini imewachukua miaka 30 kupata jengo la ofisi la ghorofa moja.

Je wakikabidhiwa nchi, wataweza kujenga miradi mikubwa mikubwa ndani ya muda mfupi?
Akili fupi hii. Bwawa la Nyerere linajengwa kwa fedha za Ruzuku ya Vyama? Fedha za Miradi ya Serikali zinatolewa na CCM?
 
Tangu chadema ianze kupokea ruzuku, imepata zaidi ya bilioni 300, lakini imewachukua miaka 30 kupata jengo la ofisi la ghorofa moja.

Je wakikabidhiwa nchi, wataweza kujenga miradi mikubwa mikubwa ndani ya muda mfupi?
Kuna mahali CCM inajenga SGR?
 
Tangu chadema ianze kupokea ruzuku, imepata zaidi ya bilioni 300, lakini imewachukua miaka 30 kupata jengo la ofisi la ghorofa moja.

Je wakikabidhiwa nchi, wataweza kujenga miradi mikubwa mikubwa ndani ya muda mfupi?
Hapo ni sawa na kusema kama baba yako alinunua gari akiwa na miaka 50+, basi ww mtoto wake utanunua gari ukiwa na miaka 65+. Yaani umejaribu kutoa mfano ambao haufiti kwenye uhalisia.
 
Tangu chadema ianze kupokea ruzuku, imepata zaidi ya bilioni 300, lakini imewachukua miaka 30 kupata jengo la ofisi la ghorofa moja.

Je wakikabidhiwa nchi, wataweza kujenga miradi mikubwa mikubwa ndani ya muda mfupi?
Kama kungekuwa na chuo kinatoa shahada ya ujinga basi chiembe ungetunukiwa;
Masters in Stupidity, 1st class.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hamna kujenga ,watabakia na hilo hilo banda lao la kufugia kuku hapo kino
nalo waliachiwa na nani sijui.
Mwenyekiti malyenge anajenga kwao Hai,Dubai,South Africa majumba ya mabilioni.
Zikipungua Nyumbu watachangishwa.
 
Tangu chadema ianze kupokea ruzuku, imepata zaidi ya bilioni 300, lakini imewachukua miaka 30 kupata jengo la ofisi la ghorofa moja.

Je wakikabidhiwa nchi, wataweza kujenga miradi mikubwa mikubwa ndani ya muda mfupi?
It's absolutely irrelevant..

You are comparing an incomparable...

Ujenzi wa Bwawa la umeme la Nyerere unaofanywa na serikali ya Tanzania ungeulinganisha na mradi wowote unaofanywa na serikali nyingine mfano Kenya, South Africa nk nk.

Sasa wewe kwa ujinga wako unaulinganisha mradi unaogharamiwa na serikali yenye vyanzo vyote vya fedha zikiwemo kodi zetu, misaada na mikopo toka nchi za mabeberu na taasisi inayojitegemea kama CHADEMA ambayo haina reliable access sources zozote.

This shows exactly how ignorant and stupid you are...!
 
Tangu chadema ianze kupokea ruzuku, imepata zaidi ya bilioni 300, lakini imewachukua miaka 30 kupata jengo la ofisi la ghorofa moja.

Je wakikabidhiwa nchi, wataweza kujenga miradi mikubwa mikubwa ndani ya muda mfupi?
Chadema hawana jengo lolote wamepanga room 3 upande Mtaa wa Ufipq Kinondoni wanalipa laki 3 kwa mwezi na bado yule Mzee mwenye nyumba analalamika hawalipi kwa wakati kodi.
 
Tangu chadema ianze kupokea ruzuku, imepata zaidi ya bilioni 300, lakini imewachukua miaka 30 kupata jengo la ofisi la ghorofa moja.

Je wakikabidhiwa nchi, wataweza kujenga miradi mikubwa mikubwa ndani ya muda mfupi?
Hilo halihitaji kuhitimu chuo kikuu kulifahamu!
 
Kwani ukiwa upande huo ni lazima ujitoe ufahamu ndio maisha yasonge?
Kuna wakati muwe mnajaribu kutumia ubongo katika kufikiri badala ya kutumia mautumbo ,kongosho na uti wa mgongo.

Pole kwa kupungukiwa na uwezo wa kufikiri
Tangu chadema ianze kupokea ruzuku, imepata zaidi ya bilioni 300, lakini imewachukua miaka 30 kupata jengo la ofisi la ghorofa moja.

Je wakikabidhiwa nchi, wataweza kujenga miradi mikubwa mikubwa ndani ya muda mf

Back
Top Bottom