Jerry Silaa, mbona hututembelei Manzese na Tandale, au kwa Mpalange unapita pita maeneo ya matajiri tu, hatukuoni vijijini!

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,002
20,662
Najua kwamba katika moja ya mambo ambayo SSH alitilia mkazo, ni ile migogoro yenye sura ya kitaifa, vijiji na hifadhi za taifa, vijiji na mapori, maeneo ya serikali na wananchi, na mengine kama hayo, akaunda kamati ya kitaifa ya mawaziri.

Mbona ndugu Silaa hajihusishi na hayo ambayo SSH aliyatilia nguvu, tena yana sura ya kitaifa na yanahitaji utatuzi wa wizara zaidi ya moja, na wizara yake ndio mwenyekiti wa kamati hiyo?

Kwa nini anatembea katika maeneo ambayo kizungu yanaitwa posh areas, za wenye nazo,akina Diamond Platnumz, kuna nini huko? Mbona hatumuoni Tandale? Kwa Mpalange? Au kwa kuwa hawana chochote?

Kule wilaya ya Bunda,Nyatwali, kuna mgogoro wa wananchi na hifadhi,Tarime wanataka kuuana na watu wa hifadhi, kule Mbeya, sijui ihefu, kuna jambo kubwa kati ya wananchi na hifadhi, kila mahala, tena migogoro yenye sura ya kitaifa, yanahitaji uamuzi wa kitaifa, kwanini anakesha kwenye vichochoro vya matajiri, kiwanja skwea mita 500, na ambao ukiwatisha wanakupiga tena(kikbaki)?

Migogoro yenye sura ta kitaifa inahusisha maelfu ya wapiga kura wa SSH. Hata Kigoma, Kagera kwa Mwijage, kila mahala. Morogoro Rais alitoa agizo mashamba aliyoyatwaa wagawiwe wananchi, mbona hakuna hata mkakati wa matumizi bora ya ardhi? Kule Rukwa, askofu kachukua kijiji kizima, mbona huendi huko?

Dotto Biteko anataka vyanzo vya maji yanayoenda Bwawa la Mwalimu Nyerere vilindwe, mkakati wake ukoje kwa upande wa wizara yake? Ataweka beacons na kupima ili wananchi wajue maeneo ambayo hawaruhusiwi? Au ndio siasa za bei chee na kukodi waandishi na kuwapa.......

Kwa nini hatembei na mawaziri wenzake atatue kero za kitaifa? Ile kamati ya Rais ilitoa mapendekezo na utekelezaji, Mama Anje na Lukuvi walikuwa wanakaa kutwa vijijini wakiwa na wakuu wa wilaya na mikoa wanapima maeneo yenye shida na kutoa suluhu, Silaa yeye ni Mikocheni na Mbweni, hayaoni hayo anabaki kutembea Mikocheni na Mbweni?, posh areas wanakoishi bilioneaz?
 
Hakuna mtu atadhubutu kutembelea skwata, viwanja havijapimwa kila mwaka mtu anaongeza hatua moja mpakani.
Manzese/Tandale, Awe anachukua kila mwaka ekari 50, anafidia, anafanya maendelezo kwa kuyapima hayo maeneo, hata kwa PPP, sekta binafsi inaalikwa inajitolea fidia, serikali inatwaa, inafidia kupitia hela za sekta binafsi, mimi akifanya hivyo akaja na hela ndefu nahama, yeye anafanya redevelopment, hata pale mwanza milimani, mjini kabisa, akae na private sector, awape mkakati, watatoa hela ya fidia, milima itakuwa planned, and the town will look posh, hiyo ndiyo akili ya mtu wa level ya waziri
 
Najua kwamba katika moja ya mambo ambayo SSH alitilia mkazo, ni ile migogoro yenye sura ya kitaifa, vijiji na hifadhi za taifa, vijiji na mapori, maeneo ya serikali na wananchi, na mengine kama hayo, akaunda kamati ya kitaifa ya mawaziri.

Mbona ndugu Silaa hajihusishi na hayo ambayo SSH aliyatilia nguvu, tena yana sura ya kitaifa na yanahitaji utatuzi wa wizara zaidi ya moja, na wizara yake ndio mwenyekiti wa kamati hiyo?

Kwa nini anatembea katika maeneo ambayo kizungu yanaitwa posh areas, za wenye nazo,akina Diamond Platnumz, kuna nini huko? Mbona hatumuoni Tandale? Kwa Mpalange? Au kwa kuwa hawana chochote?

Kule wilaya ya Bunda kuna mgogoro wa wananchi na hifadhi,Tarime wanataka kuuana na watu wa hifadhi, kule Mbeya, sijui ihefu, kuna jambo kubwa kati ya wananchi na hifadhi, kila mahala, tena migogoro yenye sura ya kitaifa, yanahitaji uamuzi wa kitaifa, kwanini anakesha kwenye vichochoro vya matajiri, kiwanja skwea mita 500, na ambao ukiwatisha wanakupiga tena(kikbaki)?

Migogoro yenye sura ta kitaifa inahusisha maelfu ya wapiga kura wa SSH. Hata Kigoma, Kagera kwa Mwijage, kila mahala. Morogoro Rais alitoa agizo mashamba aliyoyatwaa wagawiwe wananchi, mbona hakuna hata mkakati wa matumizi bora ya ardhi? Kule Rukwa, askofu kachukua kijiji kizima, mbona huendi huko?

Dotto Biteko anataka vyanzo vya maji yanayoenda Bwawa la Mwalimu Nyerere vilindwe, mkakati wake ukoje kwa upande wa wizara yake? Ataweka beacons na kupima ili wananchi wajue maeneo ambayo hawaruhusiwi? Au ndio siasa za bei chee na kukodi waandishi na kuwapa.......

Kwa nini hatembei na mawaziri wenzake atatue kero za kitaifa? Ile kamati ya Rais ilitoa mapendekezo na utekelezaji, hayaoni hayo anabaki kutembea Mikocheni na Mbweni?, posh areas wanakoishi bilioneaz?
Bosi wake ataanza kisikiz kero pigeni kelele Aache kukaa hapo kwa Machawa Lumumba
Are huko kwa Mpalange atusikize.
 
Hata jimboni kwake hajaja kutatua changamoto za Ardhi. Anafanya sinema tu na mamlaka zinamchekea. Mama awaangalie sana wateule wake, wanamuangusha sana
 
Matajiri wa bongo ndio madhulumati wa viaanja vya maskini
 
Those are petty issues ambazo kwa level ya waziri hazifai kuchukua.muda wake mwingi, tunamtaka a+act kitaifa, hizo ni mambo za yeye kukaa ofisini na kuamua au kutoa maelekezo
 
Hata jimboni kwake hajaja kutatua changamoto za Ardhi. Anafanya sinema tu na mamlaka zinamchekea. Mama awaangalie sana wateule wake, wanamuangusha sana
Wanamsubiri kwa hamu, barabara hazisomeki, ardhi ndio kabisaaaa, anatoa hati miliki maeneo ya watu wazito tu, kwake hajafanya kutoa hata hati feki
 
Anamambo yake binafsi yule. Haiwezekan waziri ukakaa mstari wa mbele unasukuma tingatinga libomoe nyumba.
 
Back
Top Bottom