kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,000
- 17,909
KUMBUKUMBU YA KIFO CHA HAYATI JOHN POMBE MAGUFULI (JPM)
JPM hakupenda kusafirisafiri Nje ya Nchi na hakupandisha Gharama za Maisha kwa Watanzania! JPM ameweka REKODI kwa kutufanyia mambo makubwa sana Watanzania katika muda mfupi sana! Hebu tukumbushane mifano michache.
1. JPM anajenga Reli ya Mwendo kasi, SGR. Ni matumaini yetu itakamilishwa mapema.
2. JPM anajenga Bwawa la Umeme la Mwalimu Nyerere. Ni matumaini yetu litakamilishwa mapema, bila kuhujumiwa.
3. JPM amenunua Ndege 13 aina tofautitofauti. Ni matumaini yetu ATCL watazitendea haki Ndege hizi.
4. JPM amejenga Ikulu kule Dodoma na yale Maghorofa ya Wizara kule Mji wa Serikali Dodoma (Mtumba) Magufuli City.
5. JPM amehamishia Dodoma Makao Makuu ya Serikali na ameijenga Dodoma imekuwa Jiji.
6. JPM amejenga Flyover Dar es Salaam pale Ubungo na TAZARA.
7. JPM amejenga Daraja la Tanzanite pale Selander.
8. JPM ametengeneza huu Mfumo wa Kompyuta wa Malipo ya Serikali. Mfumo huu sasa unahujumiwa na kuikosesha Serikali malipo (utadhani Serikali imeenda likizo).
9. JPM alikuwa anaweka umeme hadi Vijijini, tena kwa Tsh. 27,000/= tu.
10. JPM amemshawishi Rais Museveni Bomba la Mafuta kutoka Uganda lipite Tanzania. Tukumbuke Rais Uhuru Kenyatta aliutaka sana Mradi huu lakini akashindwa na JPM.
11. JPM anajenga Daraja la Kigongo Ferry Busisi kule Ziwa Victoria.
12. JPM amejenga Meli kubwa mbili mbili kila ziwa, yaani Ziwa Victoria 2, Ziwa Tanganyika 2 na Ziwa Nyasa 2.
13. JPM amejenga Hospitali kubwa 4 za Kanda. Dodoma, Mara, Mtwara, Geita na Songea.
14. JPM amejenga Hospitali za Wilaya Zaidi ya 70.
15. JPM amejenga Mradi Mkubwa wa Maji ya Ziwa Victoria kule Tabora.
16. JPM amejenga Mradi mkubwa wa Maji kule Arusha.
17. JPM amejenga Barabara ya Njia 6 Dar es Salaam hadi Kibaha.
18. JPM alikuwa anajenga Mizani za Kisasa kabisa kwenye Barabara zote kubwa.
19. JPM amejenga Vituo vya Afya Zaidi ya 500 Nchini.
20. JPM amejenga na Kununua Rada 4 za Viwanja vya Ndege Nchini.
21. JPM amejenga Viwanja vya Ndege huko Mara, Iringa, Mbeya, Chato, Songea na Rukwa.
22. JPM amejenga Masoko ya Madini katika kila Mikoa yenye Migodi ya Madini Nchini.
23. JPM amejenga Ukuta wa Mererani na kuweka Kamera za Ulinzi.
24. JPM amejenga Bandari Kilwa na kuzipanua Bandari za Dar es Salaam, Mtwara na Tanga.
25. JPM amejenga Masoko ya Kisasa zaidi. Mfano huko Dodoma, Morogoro, Dar es Salaam, n.k.
26. JPM amejenga Stendi za Mabasi za Kisasa zaidi. Mfano Dodoma, Morogoro, Dar es Salaam, n.k.
27. JPM amenunua Vifaa Tiba kama MRI, CT Scan, Vifaa vya Kufanyia Oparations za Moyo pale JKCI, n.k. Wagonjwa wanatoka Nchi jirani kuja kutibiwa Tanzania.
28. JPM amejenga Vivuko vya Majini sehemu mbalimbali kama Mafia, Kilwa, Ukerewe, n.k.
29. JPM amejenga Barabara za Lami za adabu miji mingi sana, Barabara zina mifereji ya uhakika, taa na taa za kuongozea magari.
30. JPM amejenga Shule za Msingi na Sekondari na kukarabati za zamani zikawa Bora kama Vyuo vikuu.
31. JPM amenunua Vitanda kwenye Mahospitali yetu. Watu hawalali chini tena.
32. JPM ametengeneza Madawati Shule nyingi sana Nchini. Hakupenda kuona Wanafunzi wanakaa chini.
33. JPM kajenga Hosteli pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Uhaba wa vyumba umepungua sana.
34. JPM akasimamia Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu. Aidha Fedha za Boom zikawa zinatoka kwa wakati. Migomo Vyuoni ikaisha kabisa.
35. JPM aliamua kutusomeshea Watoto bure bila kulipa Ada ya Shule (Msingi na Sekondari).
36. JPM kafufua Reli ya Kati na Reli ya kwenda Moshi hadi Arusha.
37. JPM alikuwa anajenga Kiwanda cha Sukari cha Magereza Morogoro.
38. JPM amejenga Kiwanda cha Viatu vya Jeshi huko Lukaranga Moshi. Viatu haviagizwi tena nje ya Nchi.
39. JPM anajenga Kiwanda cha Vifaa Tiba na Dawa huko Njombe.
40. JPM anajenga Barabara za Mwendo Kasi Mbagara hadi Gerezani Kariakoo.
41. JPM amejenga Flyovers pale Veta na Uhasibu Dar es Salaam.
42. JPM amejenga Vituo Vya Polisi, Nyumba za Askari Polisi na Magereza.
43. JPM amejenga yale Maghorofa ya Magomeni na aliruhusu watu wakae bure kwa Miaka 5.
44. JPM alikuwa karibu na Wananchi.
45. JPM alikuwa anawatembelea Wananchi Mijini na Vijijini. Kila kona ya Nchi.
46. JPM alikuwa anatatua Shida za Wananchi papo kwa hapo.
47. JPM alikuwa mkweli, hakupenda kuwahadaa na kuwalaghailaghai Wananchi.
48. JPM alipambana na Ufisadi na Mafisadi.
49. JPM alitumbua Viongozi wabovu.
50. JPM alikuwa Mcha Mungu wa Kweli.
51. JPM amejenga Misikiti.
52. JPM amejenga Makanisa.
53. JPM ametujenga Watanzania...!
54. JPM amerudisha Heshima ya Kazi.
55. JPM amerudisha Heshima ya Nchi yetu Duniani.
HONGERA NYINGI SANA JEMBE LETU NA SHUJAA WETU JPM! TUNAKUSHUKURU SANA!TUTAKUKUMBUKA NA KUKUMISI DAIMA!
MWENYEZI MUNGU AKUJAALIE PUMZIKO LA AMANI, MILELE AMINA!
Watu waache Vineno vya Ajabuajabu...! Watu wafanye yao tuyaone! Wasikalie kutwa kumuongelea Hayati Magufuli! Rose Muhando aliimba: "Jifunze kwa Waliofanikiwa"!