Najiuliza Je, interview ya Mabeyo leo ilikuwa na ulazima wowote?

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
715
1,774
Najiuliza tu Je hii interview ilikuwa na ulazima na umuhimu wowote kwa siku ya leo au ni mkakati?

Aidha Mabeyo anasema kuna wakati mama alikuwa anashauriwa vibaya Je, ni wakati gani huo?
 
Aidha Mabeyo anasema kuna wakati mama alikuwa anashauriwa vibaya Je ni wakati gani huo?
Wakati wa Mungu ni wakati sahihi. Mungu mwenyewe alitaka tuyajue yote haya.
 
Umuhimu ulikuwepo mana ni siku ya kukumbuka kifo chake, ila kuna watu kama vile wanataka kujipatia point tatu wakati hakuna baya lolote aliloongea
 
Interview bora kabisa mwaka huu, imetengeneza mjadala mzuri sana na unafungua sehemu zilizojifunga na nuru ya ukweli inaanza kujitokeza.
 
Najiuliza tu Je hii interview ilikuwa na ulazima na umuhimu wowote kwa siku ya leo au ni mkakati?

Aidha Mabeyo anasema kuna wakati mama alikuwa anashauriwa vibaya Je ni wakati gani huo?
Why? WHy? and WHY?
Mkuu upo vema upstairs
Ila nadhani haijatokea kwa bahati mbaya
Inaweza kuwa ishara hasi pia.
Imezaa Gumzo nchi nzima.
Hii kauli ya pili kwa hivi karibuni kutoka kwa mtu mzito inayotoa tafsiri na maswali kadhaa juu ya hadhi ya mamlaka iliyopo.
 
Najiuliza tu Je hii interview ilikuwa na ulazima na umuhimu wowote kwa siku ya leo au ni mkakati?

Aidha Mabeyo anasema kuna wakati mama alikuwa anashauriwa vibaya Je ni wakati gani huo?
Wewe umewaza vizuri. Je, Marehemu alikuwa akiuguzwa kijeshi? Kwamba wakati anafariki tena baada ya kuwa ktk hali mbaya kwa muda wa zaidi ya siku nzima viongozi waandamizi wa serikali wasitaarifiwe, familia ya marehemu vilevi alafu baada ya kifo hawajui ni nani wa kutaarifiwa kwanza. Duh...inchi hii!!!
 
  • Thanks
Reactions: xox
Najiuliza tu Je hii interview ilikuwa na ulazima na umuhimu wowote kwa siku ya leo au ni mkakati?

Aidha Mabeyo anasema kuna wakati mama alikuwa anashauriwa vibaya Je, ni wakati gani huo?
Mke wake alikuwa wapi wakati mumewe yuko mahututi, huku wakiitwa mapadre, sijui Pengo nk. Yaani mke Yuko mbali anafanya kupewa taarifa mumewe akiwa kafariki! Wakati huo huo Hadi watu huko vijijini walikuwa na taarifa za kifo chake huku mitandaoni. Unaachaje kumuuliza CDF kwenye mazingira hayo?
 
Kikubwa tunachoshukuru hasa kwa sie wakatoliki ni kusikia alipata sakramenti ya kitubio,,,,,hilo ndo la muhimu na tunamshukuru kamanda kwa kutupa hizo taarifa
 
Mke wake alikuwa wapi wakati mumewe yuko mahututi, huku wakiitwa mapadre, sijui Pengo nk. Yaani mke Yuko mbali anafanya kupewa taarifa mumewe akiwa kafariki! Wakati huo huo Hadi watu huko vijijini walikuwa na taarifa za kifo chake huku mitandaoni. Unaachaje kumuuliza CDF kwenye mazingira hayo?
Wakina Pengo hao ndo muhimu,,,,unakumbuka walienda kumtuliza Membe ile ishu yake na Musiba baadae yako wapi ??? Magufuli ni mtakatifu na aliletwa kwa kazi maalum na akaitekeleza akaenda
 
20240317_211801.jpg
 
Wewe umewaza vizuri. Je, Marehemu alikuwa akiuguzwa kijeshi? Kwamba wakati anafariki tena baada ya kuwa ktk hali mbaya kwa muda wa zaidi ya siku nzima viongozi waandamizi wa serikali wasitaarifiwe, familia ya marehemu vilevi alafu baada ya kifo hawajui ni nani wa kutaarifiwa kwanza. Duh...inchi hii!!!
Hii ndio maana halisi ya ONE MAN SHOW
wengine walikuwa ni alama tu
 
Ulazima wake umekuja baada ya kufanyika.

Hatukujua kuwa tulikuwa tunaihitaji hiyo interview mpaka baada ya kufanyika. Mengi yamefunguka leo ambayo yamezua maswali zaidi ambayo mbeleni yatatupa mwanga zaidi.
 
Najiuliza tu Je hii interview ilikuwa na ulazima na umuhimu wowote kwa siku ya leo au ni mkakati?

Aidha Mabeyo anasema kuna wakati mama alikuwa anashauriwa vibaya Je, ni wakati gani huo?
Interview moja nyuzi elf 1
 
Wewe umewaza vizuri. Je, Marehemu alikuwa akiuguzwa kijeshi? Kwamba wakati anafariki tena baada ya kuwa ktk hali mbaya kwa muda wa zaidi ya siku nzima viongozi waandamizi wa serikali wasitaarifiwe, familia ya marehemu vilevi alafu baada ya kifo hawajui ni nani wa kutaarifiwa kwanza. Duh...inchi hii!!!
Na hakuna hata sehemu moja alipotajwa mkewe kuwepo pembeni yake.

Ni kama vile marehemu aidha alichukuliwa mateka kipindi cha ugonjwa wake ama kulikuwa na tishio kubwa kiasi cha kugubikwa usiri na ulinzi mkubwa.
 
Najiuliza tu Je hii interview ilikuwa na ulazima na umuhimu wowote kwa siku ya leo au ni mkakati?

Aidha Mabeyo anasema kuna wakati mama alikuwa anashauriwa vibaya Je, ni wakati gani huo?
Haikuwa na ulazima au umuhimu wowote, kwanza imezua hoja nyingi za kujadili wakati tulishatoka huko.
 
Back
Top Bottom