Je, Shujaa Magufuli angekubali kula wali wenye virutubisho!?

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
950
2,866
Mama kaenda Marekani kaja na wali wenye virutubisho, Tanzania yenye ardhi yenye rutuba asilimia 80 mvua inayonyesha na maji yanayotiririka masaa 24, Tanzania yenye amani isiyo na vita, Tanzania ilitolelewa kijamaa iliyolima mashamba ya Ujamaa kuvuna mavuno ya kutosheleza, leo tumefanywa kama Sudani na Somalia yenye vita kila siku,tumeletewa mahindi na maharage ya msaada tunaambiwa yameongezwa virutubisho (GMO).

Zipi athari zake?
Je, ni kubadili DNA na mwanaume kuwa na tabia za kike yaani kutengeneza mashoga?
Nauliza nipeni jibu!?
 
Mama kaenda Marekani kaja na wali wenye virutubisho, Tanzania yenye ardhi yenye rutuba asilimia 80 mvua inayonyesha na maji yanayotiririka masaa 24, Tanzania yenye amani isiyo na vita, Tanzania ilitolelewa kijamaa iliyolima mashamba ya Ujamaa kuvuna mavuno ya kutosheleza,leo tumefanywa kama Sudani na Somalia yenye vita kila siku,tumeletewa mahindi na maharage ya msaada tunaambiea yameongezwa virutubisho (GMO) zipi athari zake,Je ni kubadili DNA na mwanaume kuwa na tabia za kike yaani kutengeneza mashoga!!? Nauliza nipeni jibu!?
 
Tangu lini msukuma anakula wali, ukila wali utaweza kushika jembe la msukuma, wewe hauwajui wasukuma unadhani ni wandengereko.
 
Mama kaenda Marekani kaja na wali wenye virutubisho, Tanzania yenye ardhi yenye rutuba asilimia 80 mvua inayonyesha na maji yanayotiririka masaa 24, Tanzania yenye amani isiyo na vita, Tanzania ilitolelewa kijamaa iliyolima mashamba ya Ujamaa kuvuna mavuno ya kutosheleza, leo tumefanywa kama Sudani na Somalia yenye vita kila siku,tumeletewa mahindi na maharage ya msaada tunaambiwa yameongezwa virutubisho (GMO).

Zipi athari zake?
Je, ni kubadili DNA na mwanaume kuwa na tabia za kike yaani kutengeneza mashoga?
Nauliza nipeni jibu!?

Nyuzi zenu hazina mantiki
 
Mbona yeye mwenyewe alikula ugali wa Yanga na Burga za kutoka Marekani kwenye njaa ya 1984 tena kwa kupanga foleni kuanzia asubuhi hadi jioni kuisubiri
 
Mama kaenda Marekani kaja na wali wenye virutubisho, Tanzania yenye ardhi yenye rutuba asilimia 80 mvua inayonyesha na maji yanayotiririka masaa 24, Tanzania yenye amani isiyo na vita, Tanzania ilitolelewa kijamaa iliyolima mashamba ya Ujamaa kuvuna mavuno ya kutosheleza, leo tumefanywa kama Sudani na Somalia yenye vita kila siku,tumeletewa mahindi na maharage ya msaada tunaambiwa yameongezwa virutubisho (GMO).

Zipi athari zake?
Je, ni kubadili DNA na mwanaume kuwa na tabia za kike yaani kutengeneza mashoga?
Nauliza nipeni jibu!?
Pangechimbika!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom