Wanawake wamchangia Rais Samia Milioni 120 za Fomu ya Urais. Majaliwa aongoza zoezi, asisitiza Fomu ya Urais 2025 itakuwa Moja tu

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,046
49,730
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaongoza wanawake kumchangia pesa za kuchukulia fomu Rais Samia ambapo alikuwa mgeni Rasmi.

Wanawake hao wapenzi wa Rais Samia wamemchangia Shilingi Milioni 120 Kwa Ajili ya kugharamia fomu ya Urais.

Akiongea kwenye Hafla hiyp.PM Majaliwa amesisitiza kwamba CCM itachapisha fomu 1 tuu ya Urais 🤣🤣 hivyo wengine wajiandae kupiga kampeni.

=====

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameongoza uchangishaji wa fedha kwa ajili ya kumwezesha Rais Dkt. Samia kuchukua fomu ya kugombea urais mwaka 2025 na kusisitiza kwamba fomu ya urais kwa mgombea wa CCM itakuwa moja pekee.

Fedha hizo zimechangwa wakati wa mkutano ulioandaliwa na wanawake kwa ajili ya kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa kinara wa nishati safi ya kupikia, mazingira na afya ya mama na mtoto.

My Take
Hongera sana kina Mama kuonesha kwamba Samia anatosha zaidi ya kutosha.

Tukutane Oktoba 2025.

View: https://www.instagram.com/reel/C4WBWUJMTLS/?igsh=aGZjNnV2azN4ajcz
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaongoza wanawake kumchangia pesa za kuchukulia fomu Rais Samia ambapo alikuwa mgeni Rasmi.

Wanawake hao wapenzi wa Rais Samia wamemchangia Shilingi Milioni 120 Kwa Ajili ya kugharamia fomu ya Urais.

Akiongea kwenye Hafla hiyp.PM Majaliwa amesisitiza kwamba CCM itachapisha fomu 1 tuu ya Urais 🤣🤣 hivyo wengine wajiandae kupiga kampeni.

View: https://www.instagram.com/p/C4Vbw6jPdGT/?igsh=MXg1ZG45cG9tam5xYg==

My Take
Hongera sana kina Mama kuonesha kwamba Samia anatosha zaidi ya kutosha.

Tukutane Oktoba 2025.

Mteja ni mmoja tu sasa kuna haja gani ya kumuuzia bidhaa ambayo pia ni moja tu?
 
Back
Top Bottom