Mchele wa msaada haukuja kwa bahati mbaya, ni baada ya Benki ya Dunia kuitahadharisha Tanzania kupunguza kuzaliana, CCM mnapunguziwa wapiga kura

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
14,183
16,191
Sikushangaa kuona mchele wenye virutubisho.

Huo haukuja kwa bahati ni baada ya siku mbili tu kupita baada world bank kuitahadharisha tanzania juu ya wananchi wake kuendelea kuzaliana kwa wingi bila kikomo kama walivyoambiwa na shujaa Magufuli wazaliane mpaka mayai yaishe.

Wakaenda mbali kwa kuweka makadirio ifikapo 2050 nchi itakuwa na watu mil 140 hivyo ni mzigo kwa nchi itaelemewa,

World bank walishajua hilo ndio maana hiyo kauli iliambatana na mzigo uliokua ukipakuliwa bandarini, kwa ajili ya kupunguza uzazi hao vijana.

Watakao kula virutubisho watakuwa hawana uwezo wa kutunga mayai hivyo ifikapo 2050 hao wote watakua ni watu wazima.

Hivyo January Makamba anajua,Mwigulu nchemba anajua na doroti gwajima,ummy anajua na bashe asijifanye kushangaa.

CCM mnategemea wingi wa watu kupata ushindi inakuja mbinu nyingine ya kupunguza wapiga wadandiwa na mashine za kusaga wenzao!
 
Acha uongo Usa ajaanza leo kuipa msaada wa chkula Tza alishawahi tupa msaada wa mahindi ya kulishia ng'ombe Yale ya njano tukala Hadi kushiba.
USA ndie anaelisha chakula karibu wakimbizi wote Dunia kuanzia makambi ya kigoma hadi Afghanistan,mbona huko hawajawa mashoga.
 
Hiyo ni hatari kwa taifa. Njaa mbaya
 
Uzuri wamelenga ngome ya ccm
 
Serikali ebu tuachane na mivyakula ya kupewa na mabeberu ,kwetu kuna vyakula kibao hadi vinaoza.
Wanasiasa ndio wanadanganya hivyo kwamba kuna vyakula kibao hadi vinaoza, kuna watu wengi sana nchi hawali mlo bora, milo miwili tu ni shida na raia wengi wa nchi wamedumaa kwa sababu ya lishe duni. Kuna wanafunzi wanashindia uji, mihogo na kachumbari halafu mnadengua mchele ulioongezwa virutubisho muhimu!
 
Tusubiri na msaada wa Choo cha Shimo kwa ajili ya kunya Watoto wetu mashuleni. Maana tuna akili fupi kupindukia kama Nchi.
 
Acha uongo Usa ajaanza leo kuipa msaada wa chkula Tza alishawahi tupa msaada wa mahindi ya kulishia ng'ombe Yale ya njano tukala Hadi kushiba.
USA ndie anaelisha chakula karibu wakimbizi wote Dunia kuanzia makambi ya kigoma hadi Afghanistan,mbona huko hawajawa mashoga.
Matokeo yake wanawake wana vitambi wanaume wana makalio na mitindio ya ubongo!
 
Wanawake wana vitambi na wanaume wana makalio kwa sababu ya ulaji mbovu na uliopitiliza hasa wa wanga, wali, ugali, chipis, kitimoto cha kukaanga na ndizi nyingi pamoja na ulevi hasa wa bia uliopindukia. Msisingizie vyakula vya Wamarekani
 
Sikushangaa kuona mchele wenye virutubisho.

Huo haukuja kwa bahati ni baada ya siku mbili tu kupita baada world bank kuitahadharisha tanzania juu ya wananchi wake kuendelea kuzaliana kwa wingi bila kikomo kama walivyoambiwa na shujaa Magufuli wazaliane mpaka mayai yaishe.

Wakaenda mbali kwa kuweka makadirio ifikapo 2050 nchi itakuwa na watu mil 140 hivyo ni mzigo kwa nchi itaelemewa,

World bank walishajua hilo ndio maana hiyo kauli iliambatana na mzigo uliokua ukipakuliwa bandarini, kwa ajili ya kupunguza uzazi hao vijana.

Watakao kula virutubisho watakuwa hawana uwezo wa kutunga mayai hivyo ifikapo 2050 hao wote watakua ni watu wazima.

Hivyo January Makamba anajua,Mwigulu nchemba anajua na doroti gwajima,ummy anajua na bashe asijifanye kushangaa.

CCM mnategemea wingi wa watu kupata ushindi inakuja mbinu nyingine ya kupunguza wapiga wadandiwa na mashine za kusaga wenzao!
Ona sasa na wewe unageuza magoli unayaweka katikati ya uwanja kushoto na kulia!
 
Wanawake wana vitambi na wanaume wana makalio kwa sababu ya ulaji mbovu na uliopitiliza hasa wa wanga, wali, ugali, chipis, kitimoto cha kukaanga na ndizi nyingi pamoja na ulevi hasa wa bia uliopindukia. Msisingizie vyakula vya Wamarekani
Fuatilia vizuri watu wanene kupitiliza wapenzi wa jinsia moja wengi wao wapo USA!
 
Back
Top Bottom