Hayati Magufuli alimpenda sana Zitto Kabwe na hata sasa Taifa la Tanzania na Zanzibar huru zitajengwa Juu ya ACT Wazalendo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,982
141,999
Huo ndio Ukweli Mchungu hata kwa Zitto Kabwe mwenyewe.

Shujaa Magufuli alimchukulia Zitto Kabwe kama Petro kwenye siasa za Tanzania kutokana na Ujasiri wa Kijana huyo wa Kigoma anapoweka pembeni Udini na Ubumbuli.

Siri kubwa ya Magufuli na Maalim Seif ya lile Azimio la Chato anayo Zitto Kabwe, Othman Masoud na Dr Hussein Mwinyi.

Pumzika kwa Amani Shujaa Magufuli

Licha ya kumkana mara 3 lakini Yesu alipofufuka aliagiza " Waambieni Wanafunzi wangu PAMOJA na Petro watangulie Galilaya"
 
Huo ndio Ukweli Mchungu hata kwa Zitto Kabwe mwenyewe

Shujaa Magufuli alimchukulia Zitto Kabwe kama Petro kwenye siasa za Tanzania kutokana na Ujasiri wa Kijana huyo wa Kigoma anapoweka pembeni Udini na Ubumbuli

Siri kubwa ya Magufuli na Maalim Seif ya lile Azimio la Chato anayo Zitto Kabwe, Othman Masoud na Dr Hussein Mwinyi

Dominica Njema 😄😄😄
Petro
 
Dominica Njema
Zitto na udini unasemaje weweee!?
 
Huo ndio Ukweli Mchungu hata kwa Zitto Kabwe mwenyewe.

Shujaa Magufuli alimchukulia Zitto Kabwe kama Petro kwenye siasa za Tanzania kutokana na Ujasiri wa Kijana huyo wa Kigoma anapoweka pembeni Udini na Ubumbuli.

Siri kubwa ya Magufuli na Maalim Seif ya lile Azimio la Chato anayo Zitto Kabwe, Othman Masoud na Dr Hussein Mwinyi.

Pumzika kwa Amani Shujaa Magufuli

Licha ya kumkana mara 3 lakini Yesu alipofufuka aliagiza " Waambieni Wanafunzi wangu PAMOJA na Petro watangulie Galilaya"
Muuaji mkubwa hawezi kupumzika, lazima achomwe moto ajutie aliowaua
 
Huo ndio Ukweli Mchungu hata kwa Zitto Kabwe mwenyewe.

Shujaa Magufuli alimchukulia Zitto Kabwe kama Petro kwenye siasa za Tanzania kutokana na Ujasiri wa Kijana huyo wa Kigoma anapoweka pembeni Udini na Ubumbuli.

Siri kubwa ya Magufuli na Maalim Seif ya lile Azimio la Chato anayo Zitto Kabwe, Othman Masoud na Dr Hussein Mwinyi.

Pumzika kwa Amani Shujaa Magufuli

Licha ya kumkana mara 3 lakini Yesu alipofufuka aliagiza " Waambieni Wanafunzi wangu PAMOJA na Petro watangulie Galilaya"
Hakika kabisa!
 
Kwani kauli ya Magufuli wa chato ni msahafu?

nasikitika Magufuli hakuna chochote alichokuwa ame andaa kwenye hili Taifa.

Nenda kwenye kaburi lake huko chato ukamweleze haya unayotueleza
 
Mtu ameshakufa hata tuandike vipi hasikii na zama zake zineisha. Kilichopo tupambane tulio baki kuleta maendeleo ya nchi yetu
 
Back
Top Bottom