Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,468
- 23,744
Nimemwelewa sana Lema. Huwa kuna kipindi tunapishana lakini katika hili ana hoja. Miaka kadhaa tulipokea mahindi ya Yanga baada ya vita vya Kagera toka USA. Tuambiwe tulipata madhara gani.
Dawa na vyakula vingi vya kopo au pakti vinatoka nje ya nchi na marekani ikiwemo. Wakitaka kutudhuru hawashindwi. Mnakumbuka chanjo za Corona?
Bashe acha kufanya siasa nyepesi nyepesi za kufuata mkumbo. Kama waziri ulipaswa utume jopo la watu wako wakakague na wakaongee na ubalozi kuna nini kwenye hiyo nafaka.
Lakini mpaka imeingia nchini Waziri wa Afya, waziri wa Kilimo na Chakula hajui... Si tatizo lipo kwa wahusika hawa na si waliotoa msaada. Waafrika ni wavicy sana wa kufikiri. Na wanakurupuka kwenye kila jambo.