Chama chetu CCM kichukue hatua za haraka

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
380
763
Jana tulikuwa na Mkutano Mkuu wa Mtaa ulioitishwa na CCM kuelezea wananchi wa Mtaa ilani ya Chama Cha Ma;induzi yaani utekelezaji wa shughuli za maendeleo tangu Awamu ya sita iingie madarakani na tangu Awamu ya Tano na Sita hawajaitisha mkutano mkuu wa mtaa.

Mtaa wetu una takriban watu wazima 3,600. Ilikuwa ni aibu kubwa watu waliohudhuria kwenye Mkutano Mkuu huo hawakuzidi watu 30. Maelezo yaliyotolewa na Mwenyekiti wa Mtaa ni aibu. Hakujua anachokieleza. Kwa kuhitimisha mkutano wakasema tunawaomba mrudishe CCM madarakani tena na hasa Mhe. Rais wetu ajaye. Nilichogundua jana ni kama watu wamechoka siyo CCM tu na hata Vyama vingine.

Wananchi wamekata tamaa hasa ugumu wa maisha. Naishauri CCM muamke na muwatembelee wananchi na kuinadi sera yenu vinginevyo niliyoyaona jana CCM itakwa na kazi kubwa sana kwa miaka hii miwili ijayo.
 
kisiki cha mpingo sio 🐒
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu anaitaka CCM.
 
Back
Top Bottom